Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Njoo burundi mkuu tupige hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko baki mwenyewe tu Mkuu tumekuachiaNjoo burundi mkuu tupige hela.
Kuna siku nilipata nafasi ya kuhudhuria mkutano ulifanyika Masaki. Mgeni rasmi alikua ni balozi mstaafu wa Tanzania nchini Canada.
Aliongea issue nyingi ila alisema katika kipindi chake chote akiwa Canada hakuwahi kupewa tangazo la uhitaji wa nafasi za ufadhili wa masomo nchini Canada lakini cha ajabu kila mwaka watanzania karibia 200 walikua wakiingia Canada kwa ajili ya ufadhili wa kimasomo. Hitimisho, ni kuwa kutafta taarifa sahihi na kuzifanyia kazi kutakufikisha unapotaka kwenda.
Otherwise, utapiga domo sana JF unataka uende kule sijui wapi mwisho wa siku hutoki. Fanya maamuzi, tafta taarifa hata katika balozi za nchi husika unazotaka kwenda kisha chukua hatua.
Wengi wa unaowaomba ushauri humu hawako kwenye nafasi ya kukusaidia na wao wana matamanio tu ila hawana purpose. Nisamehe kama utahisi nimefanya personal attack.
Mkuu vipi kuhusu nafaka mchele Burundi.. soko lake lipoje.Njoo burundi mkuu tupige hela.
Nenda South, uko kwingine njaa tu omba omba.
Nguo na viatu unaweza fanya , hata ukiwa kule kama unatoa china , Botswana ni watu flan sio wanjanja ila maisha Yao mazuri , ila kwangu nilichokiona ni ukiwa na fani hizi za mtaani inalipa, kazi ya fundi ninayomlipa kurekebisha pampu ya gari botswana ni mshahara huku wa mtu Tanzania , kwa nini ipo hivyo mafundi hamna , na ndio maana watanzania wengi wanaotoka haasa mbeya walikuwa wamekimbilia Malawi saizi unawakuta botswana , Zim,mwanyaluke Kuna jamaa huwa anachukua nguo na viatu anapeleka Botswana hii imekaaje?
Mbona mimi mwalimu na siwazi , mbona huko naenda,.kwa mfano muda huu nipo mbeya, nawaza kuvusha gari mchana naenda Malawi , ha. Ha ha kwa hiyo mwalimu Hana Cha kufanya dunianiAcha kujidhalilisha mitandaoni
Nipe mchongo wa Namibia man niko interestedUkifikia uamuzi wa Namibia nambie nikupe contacts za mwanangu ni machinga huko Namibia
Huko kila mtu anatamani kufika mkuu, issue ni hela na connection ndio maana wajuba wanaamua kuanzia huku huku Africa.Kwanini hizo nchi na sio USA, Canada, Australia au Ulaya? Ni swali tu.
Nazingua mkuu nipo humu humu bongo nachoma mahindi.Mkuu vipi kuhusu nafaka mchele Burundi.. soko lake lipoje.
Tupe uzoefu wako kaka!na pia connection kaka!mm fani yangu ni mhasibu!natamani sana kufanya kazi hii nchi ya Botswana!share your experience mkuu!asanteNenda Botswana nimekua huko several times
Romania hasa Buccurest hakuna fursa mzee na ukipata full ubaguziWakuu napenda kwenda nchi inaitwa Romania
Namimi naenda Botswana nikale mizigoKaka namimi nahitaji nije huko kusaka maisha naomba muongoza plz
BudhapestRomania hasa Buccurest hakuna fursa mzee na ukipata full ubaguzi
Alivoandika Bucharest alimaanisha mji mkuu wa Romania.Budhapest
ni sahihi kabisa huwa ni juhudi za mtu na dhamira.Mwisho atasema wabongo wa hizo nchi hawatoi connection. Kwenda sehemu 99% ni dhamira na juhudi zako.
Ni sahih mwanaume kufia kazini kuliko kufa maskini🤣Unataka akafe 😂
Fursa ni nyingi inategemeana na wewe kwanza kama ni biashara ana na kacha hizi za kwetu wapelekee vinyago vya kuchonga kama vile wanavyochonga kule mwenge hata biashara za nafaka kama Mchele kama umeenda kuangalia ingia kwenye migodi ya almasi kule Kuna pesa nazani katika dunia wachimbaji wakubwa ni waoFursa hasa ni zipi mgeni anaweza fanya zikakubarika na wenyeji?
Gharama ya kwenda hizo nchi ulizozitaja ni kubwa kwelikweli, hivyo inabidi mtu ujipange kwelikweli.Kwanini hizo nchi na sio USA, Canada, Australia au Ulaya? Ni swali tu.