Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Mkuu unaweza ukatoa muongozo kidogo kuhusu hizo nchi? Mfano

1. Vipi kuhusu ukazi kwa wageni, je kuna usumbufu wowote uki over stay?

2. Niliwahi kusikia ukifika migration kugonga visa lazima uulizwe unapofikia nyumba no au mwenyeji wako. Je kuna ukweli?
Namibia kama Tanzania tu mgeni Hana shida , unajichanganya mimi nimepita humo mara kadhaa nikitafta spare na gari , hakuna usumbufu kivile
 
Btswana
Mkuu unaweza ukatoa muongozo kidogo kuhusu hizo nchi? Mfano

1. Vipi kuhusu ukazi kwa wageni, je kuna usumbufu wowote uki over stay?

2. Niliwahi kusikia ukifika migration kugonga visa lazima uulizwe unapofikia nyumba no au mwenyeji wako. Je kuna ukweli?
Botswana Pana unoko unoko, usiende kama mhuni , fuata utaratibu , hawana shida Sana na rushwa kwao sio kivile , so huna haja ya kupinda pinda
 
Migration wa namibia kama bongo, kiufupi namibia ni Tanzania iliyochangamka, na Wana life style ya kizungu kidogo
Ok poa mkuu, maana kuna mdau humu niliwahi kumsikia akisema hizo nchi 2 huwezi kuingia kama huna details za unapofikia na pia kuna unoko wa kuwachomea wageni kwa migration officers ndo maana nikasema niwaulize wazoefu
 
Kama umechoka na maisha ya bongo ninakushauri katika nchi ulizozitaja bora uende nchini Botswana katika nchi za bara Asia nenda Japan au South Korea Au brunei..
Katika nchi za Bara la ulaya nenda ireland au Sweden, au Ujerumani, au Switzerland, au Belgium Au Kanada au Australia
Nipe Tarehe uliyozaliwa na mwezi wako nipate kukupa ushauri wa nchi gani ya dunia inayo kufaa kwenda kuishi na kuweza kufanikiwa kimaisha
27/10

Na mie nimechoka maisha ya Tanzani,
 
Ok poa mkuu, maana kuna mdau humu niliwahi kumsikia akisema hizo nchi 2 huwezi kuingia kama huna details za unapofikia na pia kuna unoko wa kuwachomea wageni kwa migration officers ndo maana nikasema niwaulize wazoefu
Usiende Kama wahuni wa Dar, tafta mwenyeji wapo watanzania kibao, nchi ambayo Haina kwa wage NI ni south tu huko ni wewe tu na ndio kufa south imekuwa kama maigizo
 
Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa

Au Morocco na nchi nyingine ongezea.

Bongo sitaki,

Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
Malawi
 
Back
Top Bottom