BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Tupe insight pakoje mkuuNenda Botswana nimekua huko several times
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe insight pakoje mkuuNenda Botswana nimekua huko several times
Tupo tena wengi wengine na vitukuu...huku fursa nyingi sana hasa Tourism na Conservation.....ni kutamu Sera nzuri za nchi ....mfanyakazi anathaminiwa sana yaani level ya Mwalimu msingi huko bongo ni level nyingineKka nasikia namibia pazuri ila sijaona wabongo wakikaa huko
Inabidi niende BotswanaBoswana ni pazuri shida sasa mkuu ukienda nenda katafute maisha kweli Mimi nimefilka gaberon bt maisha niliyoyaona ni ya bata sana wanawake ni wengi alafu wamejiachia sana na ukimwi ni mwingi sana
Aende tu kichwa kichwa, mpe vigezo vya yeye kuwa pale, anaenda kwa kazi gani na vipi kuhusu work permit.Wewe jilipue nendaa usisahau mrejesho humu ndani jf
Upo gaborone kwa sasa au....Boswana ni pazuri shida sasa mkuu ukienda nenda katafute maisha kweli Mimi nimefilka gaberon bt maisha niliyoyaona ni ya bata sana wanawake ni wengi alafu wamejiachia sana na ukimwi ni mwingi sana
Vipi kuhusu nauli ya kutoka Tanzania🇹🇿 kwenda Botswana🇧🇼 huko na ni kazi gani zipo kwa sana.Boswana ni pazuri shida sasa mkuu ukienda nenda katafute maisha kweli Mimi nimefilka gaberon bt maisha niliyoyaona ni ya bata sana wanawake ni wengi alafu wamejiachia sana na ukimwi ni mwingi sana
Ingia googleVipi kuhusu nauli ya kutoka Tanzania🇹🇿 kwenda Botswana🇧🇼 huko na ni kazi gani zipo kwa sana.
Fursa hasa ni zipi mgeni anaweza fanya zikakubarika na wenyeji?Boswana ni pazuri shida sasa mkuu ukienda nenda katafute maisha kweli Mimi nimefilka gaberon bt maisha niliyoyaona ni ya bata sana wanawake ni wengi alafu wamejiachia sana na ukimwi ni mwingi sana
Kule mkuu kwa kutafuta maisha ni pazuri alafu pesa Yao wanaiita pula nazani kwa Africa itakuwa ni ya pili kwa kuibadilisha kwa pesa yetu ya shilingi kuwa tu makini hao dada kule wanaongea sana lugha zao wanaiita kiswano kingereza sio sanaInabidi niende Botswana
Hapana nilishatoka nilikuwa naenda Canada pale nilikaa kwa mda kidogo alafu wanawake wa kule wanavaa nguo fupi na ni waleviUpo gaborone kwa sasa au....
Kiufupi hapafai kuishi na familia wala sio pakutafuta mke, nimesikia hizo habari sana, hata south pako ivoooo.Hapana nilishatoka nilikuwa naenda Canada pale nilikaa kwa mda kidogo alafu wanawake wa kule wanavaa nguo fupi na ni walevi
Nitafutie huo uziMcheki Mwijaku uende US..😁😁
Naskia Botwana kuna fursa nyingi za ufundi wa magari na jamaa wako na amani sana sio kama bongo..
Kuna uzi humu wa jamaa aneishi/aliewahi kuishi huko, usearch utajifunza mengi.
Kaka namimi nahitaji nije huko kusaka maisha naomba muongoza plzNjoo Botswana