Wapi nitaipata hii kitu Kawasaki Z1000

Wapi nitaipata hii kitu Kawasaki Z1000

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Nahitaji hiki chombo used.Naomba nipewe location zilipo
 

Attachments

  • FB_IMG_1695376252929.jpg
    FB_IMG_1695376252929.jpg
    45.3 KB · Views: 2
Iwapo kam utaifuataa south Africa.

Hizi hapa Tatu
Code:
https://www.autotrader.co.za/bikes-for-sale/Kawasaki/Z1000
1695380969140.png
 
Kwenye huu ukurasa
Code:
https://www.cycletrader.com/Used-Kawasaki-Z-1000/motorcycles-for-sale?make=Kawasaki%7C2318344&model=Z%7C764948737&trim=1000%7C3260&condition=U
Zipo zaidi ya 10, Chagua mojawapo.

1695381094600.png


Iwapo utahitaji nisimamie mchakato mzima | Manunuzi + kusafirisha + clearance + Delivery mahala ulipo karibu inbox

Zaidi soma hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Back
Top Bottom