Wapi nitanunua friji la mtumba Mwanza?

Wapi nitanunua friji la mtumba Mwanza?

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Wakuu bila kuwapotezea muda naomba kujua chimbo ambalo naweza kupata friji za Mtumba imara kwa hapa Mwanza.

Asanteni.
 
Ukiwa dampo, ukikata kona kwenye njia inayoshuka kuelekea roundabout ya Nyerere mkono wako wa kushoto hapo hapo kona tu utaona maduka mawili yanafatana yote yanauza vifaa used vya electronics i.e fridges, pasi, electric kattles, micro waves nk nk.
 
Asante sana.Mostly bei zao zinaanzia sh ngap mkuu
 
Kwenye bei mkuu sifahamu, huwa naviona hivyo vifaa nikiwa napita maeneo hayo tu. Kama upo jirani ni vema ukawatembelea kwa taarifa zaidi.
 
Asante sasa mkuu

Back
Top Bottom