Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Sorry hapo natafuta gpu au vram kwa ajili ya modern games power supply yangu ya pc desktop ni 350 watt ivo inaweza kusukuma gpu sema sina usoefu na kujua ipi itanifaackwa game kama far cry 5,state of decay 2,gta 5 na recent gamesTujue kwanza unamiliki computer gani ndio tutoe ushauri. Sio kila video adopter ni kwa kila computer
Au mnasemaje mods
Tambulisha computer yako boss/ Au tambulisha Motherboard ya PC yako ina socket ipi?? Maana GPU zipo za sockets mbalimbali ili tukushauri vizuriSorry hapo natafuta gpu au vram kwa ajili ya modern games power supply yangu ya pc desktop ni 350 watt ivo inaweza kusukuma gpu sema sina usoefu na kujua ipi itanifaackwa game kama far cry 5,state of decay 2,gta 5 na recent games
350 watts inatosha gpu nyingi, ni pin ngapi hio psu?Sorry hapo natafuta gpu au vram kwa ajili ya modern games power supply yangu ya pc desktop ni 350 watt ivo inaweza kusukuma gpu sema sina usoefu na kujua ipi itanifaackwa game kama far cry 5,state of decay 2,gta 5 na recent games
Hiyo 1650 ti kwa bongo maeneo gani350 watts inatosha gpu nyingi, ni pin ngapi hio psu?
Bei za gpu ni pasua kichwa hapa Tanzania na Nyingi wanauzia "vram" kuliko perfomance. Unaambiwa Nvidia ya 2GB bei laki 3 ukiicheki ni Gt 610, 710 ama 730 ambazo zinapitwa nguvu hadi na vi Tecno.
1. Agizishia Online ama Kenya, hio Budget unapata 1050ti na change inabaki.
2. Ongeza kidogo around 500k unapata 1650ti hapa hapa Bongo
3. Piga moyo konde nunua Gt 1030 hapa hapa bongo around 200k mpaka 300k cheza hizo games kwa 720p resolution
200k kwa mdau akaniizia nvidea gt 630 4gb
kuopen games inastuck
1650ti ndio gpu kali kushinda zote ambayo haihitaji psu cable, yenyewe inachukua umeme kutoka motherboard tu (watts 75).Hiyo 1650 ti kwa bongo maeneo gani
Pia
Powersupp yangu ina pini 2 sema nataka nitumie cable ya multi pin kutoka kwenye pini 1 pia
Kingine nilidanganywa nikalipa 200k kwa mdau akaniizia nvidea gt 630 4gb gpu ila hii gpu pasua kichwa sana nikijaribi tu kuopen games inastuck
sana naomba mnishauri vyema wakuu nina desktop 2
1.Dell optlex 3040 hiyo ina ram 8 ,core i3 pia power supp yake ni 250 w
Nyibgine ni
2 HP
Intel® Core™ i7-2600 Processor (8M Cache, up to 3.80 GHz) Product Specifications
Na mkuu ungeandika model ya hizi pc ingekuwa vyema sanaHiyo 1650 ti kwa bongo maeneo gani
Pia
Powersupp yangu ina pini 2 sema nataka nitumie cable ya multi pin kutoka kwenye pini 1 pia
Kingine nilidanganywa nikalipa 200k kwa mdau akaniizia nvidea gt 630 4gb gpu ila hii gpu pasua kichwa sana nikijaribi tu kuopen games inastuck
sana naomba mnishauri vyema wakuu nina desktop 2
1.Dell optlex 3040 hiyo ina ram 8 ,core i3 pia power supp yake ni 250 w
Nyibgine ni
2 HP
Intel® Core™ i7-2600 Processor (8M Cache, up to 3.80 GHz) Product Specifications
Kwanza kwenye hiyo dell kama unataka decent Graphics card kwenye ishu ya Power supply itakusumbua.Hiyo 1650 ti kwa bongo maeneo gani
Pia
Powersupp yangu ina pini 2 sema nataka nitumie cable ya multi pin kutoka kwenye pini 1 pia
Kingine nilidanganywa nikalipa 200k kwa mdau akaniizia nvidea gt 630 4gb gpu ila hii gpu pasua kichwa sana nikijaribi tu kuopen games inastuck
sana naomba mnishauri vyema wakuu nina desktop 2
1.Dell optlex 3040 hiyo ina ram 8 ,core i3 pia power supp yake ni 250 w
Nyibgine ni
2 HP
Intel® Core™ i7-2600 Processor (8M Cache, up to 3.80 GHz) Product Specifications
Jaribu kuifunga kwenye computer nyingine ikikubali kuwaka basi shida ni PC yako, ikikataa iko na shida.Nina ATI Radeon 4500 HD ila haisomi kwnye desktop yangu, japo feni inazunguka
Hii pia ya zamani sana mkuu unless unaitumia kwa extra port.Nina ATI Radeon 4500 HD ila haisomi kwnye desktop yangu, japo feni inazunguka
Hii pia ya zamani sana mkuu unless unaitumia kwa extra port.
Cha kwanza angalia drivers uliweka? Ama umechomeka tu?
Pia angalia kama hio gpu imekuja na extra cable zaidi
Hii pia ya zamani sana mkuu unless unaitumia kwa extra port.
Cha kwanza angalia drivers uliweka? Ama umechomeka tu?
Pia angalia kama hio gpu imekuja na extra cable zaidi
kama mwanzo ilikuwa inafanya kazi na imeacha baada ya kuweka windows ni tatizo tu la software, eka drivers itafanya kazi.Labda tatizo ni drivers. Nilikuwa na windows 8 ilikuwa yafanya kazi maana niliichomeka tu ikafanya kazi.
Nikaformat ndio ikawa haionekani na pia nikiichomeka tu VGA ya kwenye motherboard haifanyi kazi bali ya kwenye Card
kama mwanzo ilikuwa inafanya kazi na imeacha baada ya kuweka windows ni tatizo tu la software, eka drivers itafanya kazi.
kuhakiki nenda device manager kaangalie kama kuna hardware imeekewa yellow triangle, ikiwepo ujue ndio hio.
driver yake download hapa
https://www.amd.com/en/support
kuna box hapo chagua weka model, na hd 4000 series zinafanana na drivers zinaingiliana incase hujui ipi ya KUCHAGUA
eka driver mkuu, tumia hio link ya juuNimeangalia haionekani kwenye display adapters
Mkuu hiyo dell specs hizo apo1650ti ndio gpu kali kushinda zote ambayo haihitaji psu cable, yenyewe inachukua umeme kutoka motherboard tu (watts 75).
Capricon mjini wanayo
NVIDIA GTX 1650 GRAPHICS CARD – Capricorn Technologies
Mkuu hiyo i3 ni i3 gani?
Ila i7 sababu ina thread 8 ina make sense kwa games za kisasa zinazotumia thread nyingi.
mkuu hio 1650 kwa monitor zetu hizi hakuna game ambayo hutacheza kwa 1080 60fps,Mkuu hiyo dell specs hizo apo
Dell OptiPlex 3040 Desktop (Intel Core-i3 3.2 GHz, 4 GB RAM, 500 GB Storage, Intel HD ...
Pia mkuu naomba nishauri vizuri mkuu mimi sinywi pombe sipendi mademu hobby yangu ni games sasa nahitaji gpu nzuri kama kina kali zaidi hapa bongo ambayo nitadumu nayo haijalishi inakula mito (namaana inahitaji powersupp kubwa) au la mimi nielekeze maduka pia natanguliza shukrani
By the way niko kigoma so nataka niende dar kwa inshu zangu thats why naeka na hio concern ya gpu ili nikamilishe kila kitu mapema mkuu.
ASANTENI WADAU KWA MICHANGO YENU NA MUNGU AWABARIKI SANA