Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

Al
Sio lazima stabiliser, tumia tu njia za kawaida kama unavyo protect, friji, TV etc nyumbani.
Alafu Kaka kuna page Instagram nimeiona inaitwa Nusra matelephone ni Mfanyabiashara wa vifaa vya electronics uko handeni Tanga eti anauza ps4 slim ya 1tb 420000 ivi ni kweli Kaka na nimezungumza nae amenipunguzia mpak 380000 na kinachoniua kabisa ananiambia niende dukani kwake nikakague mzigo apa sielewi ni kweli au ni tapeli mkuu nisaidie.
 
Huyo ni Tapeli aliekubuhu anafahamika, ukiona mtu ana bidhaa kali yupo mkoani kimbia fasta.
 
Sorry hapo natafuta gpu au vram kwa ajili ya modern games power supply yangu ya pc desktop ni 350 watt ivo inaweza kusukuma gpu sema sina usoefu na kujua ipi itanifaackwa game kama far cry 5,state of decay 2,gta 5 na recent games
Ngoja wa built desktop waje
 
Mbona ananiambia niende dukani nikakague mzigo na na kingine kasema kama kuna ndugu yangu anaishi Tanga aende akakague na kuchukua badala yangu??
Tapeli huyo niliuzia Tanga nzima washkaji hawakuona Hilo duka lake
 
Mbona ananiambia niende dukani nikakague mzigo na na kingine kasema kama kuna ndugu yangu anaishi Tanga aende akakague na kuchukua badala yangu??

Sasa unajibu unafikiri unadanganywa humu? Unamabiwa anajulikana ni tapeli upo kama unabisha..

Ndio maana hawezi kuacha utapeli kwa sababu kama wewe mpo bado wakunaswa nae.

Nenda mtu or nduguyo basi utuletee mrejesho.
 
Tapeli huyo niliuzia Tanga nzima washkaji hawakuona Hilo duka lake
📍DUKA LIPO TANGA MJINI BARABARA YA 6 KAMA UNAENDA MSIKITI WA IJUMAA📌 ndo maelezo aliyonipa mwamba
 
Attachments

  • IMG-20250202-WA0007.jpg
    IMG-20250202-WA0007.jpg
    79.8 KB · Views: 2
  • IMG-20250202-WA0004.jpg
    IMG-20250202-WA0004.jpg
    101.1 KB · Views: 2
  • IMG-20250207-WA0001.jpg
    IMG-20250207-WA0001.jpg
    133.3 KB · Views: 2
  • IMG-20250202-WA0003.jpg
    IMG-20250202-WA0003.jpg
    96.7 KB · Views: 2
📍DUKA LIPO TANGA MJINI BARABARA YA 6 KAMA UNAENDA MSIKITI WA IJUMAA📌 ndo maelezo aliyonipa mwamba
Barabara 6 kama unaenda msikiti wa ijumaa hata hakuna duka la Tech, anakuzingua tu huyo jamaa, kama huamini tuma mtu.
 
Barabara 6 kama unaenda msikiti wa ijumaa hata hakuna duka la Tech, anakuzingua tu huyo jamaa, kama huamini tuma mtu.
Kaka na Hawa game store Tz nawao vipi?? Au ni walewale?
 
Attachments

  • Screenshot_20250207-221344.png
    Screenshot_20250207-221344.png
    469.1 KB · Views: 3
Chief mi natumia HP pavilion GTX 1050 vram 2Gb nachezea fifa 23 in low graphic natumia transcend external driver sometimes Ina lag je inaweza kuwa transcend maana SSD ni ndogo gb 128
 
Back
Top Bottom