Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

Chief mi natumia HP pavilion GTX 1050 vram 2Gb nachezea fifa 23 in low graphic natumia transcend external driver sometimes Ina lag je inaweza kuwa transcend maana SSD ni ndogo gb 128
Game lina lag sio? Inaweza kuwa ram, cpu, Gpu ama hdd, cha muhimu kama hizo lag zinaendelea kwa muda fungua task manager then angalia kitu gani kipo 100% ama close to 100% hio ndio bottleneck yako.

Ninavyofahamu hdd sio sana kuleta tatizo, load times zitakua ndefu ila load vikiisha ina maana data zipo kwenye ram hutumii hdd.
 
Asante nitafanyie Kaz hiyo
 
Back
Top Bottom