Game lina lag sio? Inaweza kuwa ram, cpu, Gpu ama hdd, cha muhimu kama hizo lag zinaendelea kwa muda fungua task manager then angalia kitu gani kipo 100% ama close to 100% hio ndio bottleneck yako.
Ninavyofahamu hdd sio sana kuleta tatizo, load times zitakua ndefu ila load vikiisha ina maana data zipo kwenye ram hutumii hdd.