Kwa Mwanza jumapili kuna buffet Malaika beach pale, hutajutia hela yako. Unakula kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 11. Kuna kila aina ya misosi ni wewe tuu.
Tena hela yao very cheap 25.000/= tuu kama imepanda labda sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama zinatofautina,Kama mwanafunzi wa chuo,jioni bei tofauti kabisa na mchanaShukrani
Gharama zao unaufaham nazo?
Kuna mgahawa upo maeneo ya mnazi m'moja. Kuna ile road inashuka kulia kuelekea clocktower ukiwa unatoka Nyerere road mataa ya mnazi pale karibia na stand ya mnazi m'moja.
Ile barabara inayoshuka kulia ukitembea nayo kidogo direction ya kuelekea clock tower unaenda hatua chache sana ukitazama upande wako wa kushoto kuna sehemu pale ipo. Hata ukiulizia wadau watakupanga.