Wapi nitapata bufee (buffet)?

Wapi nitapata bufee (buffet)?

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,721
Reaction score
2,383
Kwema watu wa ulimwengu?

Wapi nitapata buffee kwa Mwanza na Dar mahali ambako nitaenda kulipa pesa na kula ninavyotaka? Namaanisha nikishalipa naruhusiwa kula chochote isipokua kubeba tu.

NB: Kama haujui kama mimi soma comments majuvi watusaidie, hii siyo thread ya story.
 
  • Thanks
Reactions: Cyn
Kwa Dar
Ramada beach resort 75,000 brunch
Serena kuna kipindi ilikuwa 69,000
 
Kwa Mwanza jumapili kuna buffet Malaika beach pale, hutajutia hela yako. Unakula kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 11. Kuna kila aina ya misosi ni wewe tuu.
Tena hela yao very cheap 25.000/= tuu kama imepanda labda sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante sana
 
Kuna mgahawa upo maeneo ya mnazi m'moja. Kuna ile road inashuka kulia kuelekea clocktower ukiwa unatoka Nyerere road mataa ya mnazi pale karibia na stand ya mnazi m'moja.

Ile barabara inayoshuka kulia ukitembea nayo kidogo direction ya kuelekea clock tower unaenda hatua chache sana ukitazama upande wako wa kushoto kuna sehemu pale ipo. Hata ukiulizia wadau watakupanga.
 
Poa shukrani
 
Back
Top Bottom