Wapi nitapata Elimu ya Kilimo cha Nyanya za Kisasa?

Wapi nitapata Elimu ya Kilimo cha Nyanya za Kisasa?

nakaribish yeyoye.nipo kwembe hkkfika luguruni wilayani ubungo nipigie 0788305012 njoo shambani namk ndiyo nimeanZa zipo na mwezi ilanashukuru miche 1000 na eneolipo kunwa njko ukkdity .now
 
Kuna kampuni inaitwa Epinav agro & farmers group. Ni msaada mkubwa sana. Wanakuja mpaka shambani bila gharama na wana kundi lao LA wasapu. Tuma namba inbox wakuunge au watafute fb.
Wako wapi? Na wenyewe wananufaikaje na hiyo huduma?
 
nakaribish yeyoye.nipo kwembe hkkfika luguruni wilayani ubungo nipigie 0788305012 njoo shambani namk ndiyo nimeanZa zipo na mwezi ilanashukuru miche 1000 na eneolipo kunwa njko ukkdity .now
🙏🙏🙏
 
Waloma Kilimo na Ufugaji.
Hawa jamaa huwa wanatoa Elim na ushauri kwa Elf 25 nadhani.

Wapo Ubungo njia panda ya chuo na Makongo ndipo Shamba darasa lilipo.
Mkurugenzi wao Anaitwa George Sanga.

Niinbox nkutumie mawasiliano yao au
Unaweza watafuta Insta pia kujiridhisha.
 
Habari JF,

Tupo mbioni kutafuta utajiri, utajiri upo shambani, alisikika bilionea mmoja akisema.

Wakuu, nina malengo baada ya kuhitimu Shahada Yangu ya Jinsia na Maendeleo (Bachelor Degree in gender and development).

Nataka kuingia moja kwa moja kwenye kilimo cha nyanya kibiashara.

Sasa ni wapi nitapata elimu sahihi ya kilimo hiki, kuanzia masuala ya udongo, kutunza miche, aina zote za madawa na kazi zake, na taratibu za mavuno.

Kifupi nataka kwanza elimu ya nyanya, nipo tayari kulipia gharama yoyote!

Anaejua wapi wanatoa elimu hii naomba anisaidie.
Uko mkoa gani mm Nina a,b,c za mbegu Bora ya kupanda, utunzaji mimea jinsi ya kuandaa Shamba hivyo kama una utayari tuwasiliane whtsapp au kawaida no 0625537380
 
Back
Top Bottom