20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Naomba link chiefElimu utaipata mule mule kundini mkuu. Just subscribe utanishukuru tuu. Maswali yako yote yatajibiwa na kuna wataalamu na wakulima pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba link chiefElimu utaipata mule mule kundini mkuu. Just subscribe utanishukuru tuu. Maswali yako yote yatajibiwa na kuna wataalamu na wakulima pia
Wako wapi? Na wenyewe wananufaikaje na hiyo huduma?Kuna kampuni inaitwa Epinav agro & farmers group. Ni msaada mkubwa sana. Wanakuja mpaka shambani bila gharama na wana kundi lao LA wasapu. Tuma namba inbox wakuunge au watafute fb.
🙏🙏🙏nakaribish yeyoye.nipo kwembe hkkfika luguruni wilayani ubungo nipigie 0788305012 njoo shambani namk ndiyo nimeanZa zipo na mwezi ilanashukuru miche 1000 na eneolipo kunwa njko ukkdity .now
Uko mkoa gani mm Nina a,b,c za mbegu Bora ya kupanda, utunzaji mimea jinsi ya kuandaa Shamba hivyo kama una utayari tuwasiliane whtsapp au kawaida no 0625537380Habari JF,
Tupo mbioni kutafuta utajiri, utajiri upo shambani, alisikika bilionea mmoja akisema.
Wakuu, nina malengo baada ya kuhitimu Shahada Yangu ya Jinsia na Maendeleo (Bachelor Degree in gender and development).
Nataka kuingia moja kwa moja kwenye kilimo cha nyanya kibiashara.
Sasa ni wapi nitapata elimu sahihi ya kilimo hiki, kuanzia masuala ya udongo, kutunza miche, aina zote za madawa na kazi zake, na taratibu za mavuno.
Kifupi nataka kwanza elimu ya nyanya, nipo tayari kulipia gharama yoyote!
Anaejua wapi wanatoa elimu hii naomba anisaidie.