Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hmmmm! Shitto ni pilipili au ni aina ya kitoweo cha Kighana? Mie nina rafiki yangu aliyewahi kuishi Ghana aliwahi kunihadithia kuhusu kitoweo hiki.
Naombeni kuuliza ni wapi nitapata pilipili aina ya shitto kwa hapa Tanzania!? Kwa wale wanayoijua tafadhali ni habarisheni hii kitu plsee! Hii ni pilipili ya wenyeji wa nchini Ghana.
Dah........hilo futa alilomimina humo.......kwa kweli.......binafsi siwezi kula shitto.........halafu hiyo puree nilidhani ni Ubuyu.........kidogo ilinipa matumaini...........
Dah........hilo futa alilomimina humo.......kwa kweli.......binafsi siwezi kula shitto.........halafu hiyo puree nilidhani ni Ubuyu.........kidogo ilinipa matumaini...........
Wala sikushangai Preta, jamaa aliniomba sana nionje lakini kwa kweli sura yake haivutii kabisa halafu yeye hatengenezi mwenyewe ananunua madukani sijui huwa imekaa hapo dukani kwa muda gani. Halafu si mimi tu niliyekataa bali katika kundi letu la marafiki hakuna hata mmoja aliyetaka japo kuionja na wengine walithubutu kuiita jina baya lol!!! katika utani.
Nlivyoona ingredients zote nkasema hii inalika kabisa hususan nlipomuona samaki na shrimp loh loh apo lilipomiminwa futa na samaki akasagwa na kichwa chake na miba ndio nkasema hii hapana sijawahi ona upishi wa ajabu kama huu
Ukionja nakwambia hutokaa kuiacha aseee, hiyo kitu ipo poa sana
Nenda ubalozi wa Ghana.
Kwani kule kwenye ubalozi wa Ghana kuna duka la Shitto?