Wapi nitapata hii pilipili ya Kighana?

Wapi nitapata hii pilipili ya Kighana?

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Naombeni kuuliza ni wapi nitapata pilipili aina ya shitto kwa hapa Tanzania!? Kwa wale wanayoijua tafadhali ni habarisheni hii kitu plsee! Hii ni pilipili ya wenyeji wa nchini Ghana.
 
Pilipili gani hiyo mbona siijui, ikoje weka picha au maelezo yanayojitosheleza inawezekana wengine wanaijua na washawahi kuiona ila hawajui kuwa ni ya ki Ghana na inaitwa shitto!!
 
Hmmmm! Shitto ni pilipili au ni aina ya kitoweo cha Kighana? Mie nina rafiki yangu aliyewahi kuishi Ghana aliwahi kunihadithia kuhusu kitoweo hiki.

Last edited by a moderator:
Waghana wanatambulika kwa kula pilipili nyingi ktk supu wanazotumia hii yote ni kutaka kuimarisha heshima ktk ndoa zao. Kama una tatizo hilo jaribu kuPM kwa mzee MziziMkavu atakusaidia. vinginevyo pilipili bora hapa kwetu ni kichaa.
 
Last edited by a moderator:
Hmmmm! Shitto ni pilipili au ni aina ya kitoweo cha Kighana? Mie nina rafiki yangu aliyewahi kuishi Ghana aliwahi kunihadithia kuhusu kitoweo hiki.

Dah........hilo futa alilomimina humo.......kwa kweli.......binafsi siwezi kula shitto.........halafu hiyo puree nilidhani ni Ubuyu.........kidogo ilinipa matumaini...........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Naombeni kuuliza ni wapi nitapata pilipili aina ya shitto kwa hapa Tanzania!? Kwa wale wanayoijua tafadhali ni habarisheni hii kitu plsee! Hii ni pilipili ya wenyeji wa nchini Ghana.

cheki na ayew!
 
Wala sikushangai Preta, jamaa aliniomba sana nionje lakini kwa kweli sura yake haivutii kabisa halafu yeye hatengenezi mwenyewe ananunua madukani sijui huwa imekaa hapo dukani kwa muda gani. Halafu si mimi tu niliyekataa bali katika kundi letu la marafiki hakuna hata mmoja aliyetaka japo kuionja na wengine walithubutu kuiita jina baya lol!!! katika utani.

Dah........hilo futa alilomimina humo.......kwa kweli.......binafsi siwezi kula shitto.........halafu hiyo puree nilidhani ni Ubuyu.........kidogo ilinipa matumaini...........
 
Last edited by a moderator:
Dah........hilo futa alilomimina humo.......kwa kweli.......binafsi siwezi kula shitto.........halafu hiyo puree nilidhani ni Ubuyu.........kidogo ilinipa matumaini...........

Nlivyoona ingredients zote nkasema hii inalika kabisa hususan nlipomuona samaki na shrimp loh loh apo lilipomiminwa futa na samaki akasagwa na kichwa chake na miba ndio nkasema hii hapana sijawahi ona upishi wa ajabu kama huu
 
Wala sikushangai Preta, jamaa aliniomba sana nionje lakini kwa kweli sura yake haivutii kabisa halafu yeye hatengenezi mwenyewe ananunua madukani sijui huwa imekaa hapo dukani kwa muda gani. Halafu si mimi tu niliyekataa bali katika kundi letu la marafiki hakuna hata mmoja aliyetaka japo kuionja na wengine walithubutu kuiita jina baya lol!!! katika utani.

Hii ukionja lazma utapike
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nlivyoona ingredients zote nkasema hii inalika kabisa hususan nlipomuona samaki na shrimp loh loh apo lilipomiminwa futa na samaki akasagwa na kichwa chake na miba ndio nkasema hii hapana sijawahi ona upishi wa ajabu kama huu

Tusiende Ghana.......hakufai........
 
Ukionja nakwambia hutokaa kuiacha aseee, hiyo kitu ipo poa sana
 
Back
Top Bottom