Wapi nitapata hivi vitu Mjini Mtwara?

Wapi nitapata hivi vitu Mjini Mtwara?

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu, nipo mjini Mtwara. Nahitaji nipate vitu vifuatavyo.
  • Pete za ndoa
  • Pete za uchumba
  • Mkufu
  • Hereni na brcelet
Vyote hivyo viwe English Gold materials.

Naomba kufahamishwa maduka gani niende nyie wenyeji wa Mtwara
 
Kwamba umeshindwa Kutembea hapo Mtwara mjini ukauliza hadi uje uulize humu watu ambao wengi wao wanaishi Dar es salaam & New York?

Yaani wewe upo Mtwara lakini unashindwa Kutembea mwenyewe hapo town kutafuta unataka watu wa JF ambao wapo Dar es salaam wakuulizie?

Kijana hauko serious na maisha!
 
Ungekuwa serious na maisha yako usingekoment hapa
 
Kulikuwa na duka la sonara maeneo karibu na makutano ya Bima kama umetokea Uwanja wa Nangwanda siku hizo.
Sasa si amuulize huyo anaetaka kumvesha(natumaini ni mwenyeji)...
 
Kulikuwa na duka la sonara maeneo karibu na makutano ya Bima kama umetokea Uwanja wa Nangwanda siku hizo.
Sasa si amuulize huyo anaetaka kumvesha(natumaini ni mwenyeji)...nend
Ni kama miaka mingapi imepita mkuu..? Maana watu hawakawi kuhama miji
Nenda hapo kituo cha mabasi ya zamani..siku hizi kituo cha daladala.
Kwenye hivyo vibanda vinavyozunguka stendi..ulizia Kapiligi(Sina uhakika sana) jewels.
 
Back
Top Bottom