Wapi nitapata maeneo ya BURE nipande miti?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari Wakuu.

Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti.

Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2).

Mwenye kujua utaratibu wa kupata maeneo hata kama si kwa mikoa niliyoitaja natanguliza shukrani za dhati😊
 
Kijijini kwetu kule serengeti yapo. Nishaenda hadi wilayani kufuatilia mbegu flani za miti ya mbao wakaniambia niongee na afisa kilimo wa kata.

Bahati mbaya sikuweza kwa sababu nilirudi mwanza ndani ya siku 2.

ila kama kweli unataka kupanda miti unaweza kuwasiliana na serikali ya mtaa iliyoko karibu yako wakakupa maeneo ukapanda miti.

au nenda mashuleni huko ndiko kuna MAENEO YA BURE KABISA UTAISAIDIA SANA JAMII YAKO
 
Ongea na serikali za mtaa eneo ulitakalo watakupa muongozo. Still maneno ya bure ni mengi nguvu yako tu.
Kabla ya kupanda miti muone Bwana miti akuchagulie aina ifaayo.
 
Habari Wakuu.
Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti. Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2). Mwenye kujua utaratibu wa kupata maeneo hata kama si kwa mikoa niliyoitaja natanguliza shukrani za dhati[emoji4]
Panda Kijiji kwenu
 
Kumbe bado mpo duniani watu uzuri

Ikikua usiku ma jobless tunakuja kukata tunaenda uza kuni na mbao
 
Kijijini kwetu kule serengeti yapo. Nishaenda hadi wilayani kufuatilia mbegu flani za miti ya mbao wakaniambia niongee na afisa kilimo wa kata.

Bahati mbaya sikuweza kwa sababu nilirudi mwanza ndani ya siku 2.

ila kama kweli unataka kupanda miti unaweza kuwasiliana na serikali ya mtaa iliyoko karibu yako wakakupa maeneo ukapanda miti.

au nenda mashuleni huko ndiko kuna MAENEO YA BURE KABISA UTAISAIDIA SANA JAMII YAKO
Asante sana mkuu kwa jibu hilo lenye hekima. Nitalifanyia kazi.
 
Ongea na serikali za mtaa eneo ulitakalo watakupa muongozo. Still maneno ya bure ni mengi nguvu yako tu.
Kabla ya kupanda miti muone Bwana miti akuchagulie aina ifaayo.
Ninakushuru sana kwa mchango wako
 
Habari Wakuu.

Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti.

Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2).

Mwenye kujua utaratibu wa kupata maeneo hata kama si kwa mikoa niliyoitaja natanguliza shukrani za dhati😊
Ikulu mjini, kuna maeneo pale unaweza panda miti bila usumbufu.
 
Back
Top Bottom