Wapi nitapata mbegu za maharage ya Njano?

Wapi nitapata mbegu za maharage ya Njano?

clinician

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
2,098
Reaction score
4,926
Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana atoe msada.
Uzi tayari.
 
Mods mi napeleka huu uzi kwenye jukwaa la mahusiano.... msiutoe.
 
Unataka kiasi gani mkuu...Arusha unaweza kupa mbegu hizo maeneo ya Selian research centre
 
Unataka kiasi gani mkuu...Arusha unaweza kupa mbegu hizo maeneo ya Selian research centre
Asanteni kwa wote mliochangia, nimewasiliana na mtu wa TARI kaniambia kwa sasa mbegu zipo hatua ya packaging, zikiwa tayari watanijulisha.
 
Back
Top Bottom