Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Chato
 
Yesu kwetu ni rafiki
Hwambiwa haja pia
Ukiomba kwa Babaye
Maombi asikia.

Lakini twajikosesha
Twajitweka vibaya
Kwamba tulimwomba Mungu
Dua angesikia.

Una dhiki na maonjo?
Una mashaka pia?
Haifai kufa moyo maombi asikia.

Hakuna mwingine mwema
Wa kutuhurumia
Atujua tu dhaifu
Maombi asikia.

Ni tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Na rehema za daima
Ni dawa yake njema.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna tofauti ya mganga wa kienyeji na mganga wa kigeni?
 
Kwa Wasukuma!
We kaka vipi na wasukuma?tumekukosea nini?

Kwanini unawachukia wasukuma namna hii?

Kisa ni kabila kubwa kuwazidi nyie na utajiri kuwazidi nyie bas imekuwa NONGWA? Sijafurahishwa kbs kwakweli..daily nakuona unawasema wasukuma, tumekukosea nini? Au kisa tuna madini?

Au kisa Chato kuna airport? Kwani nyir upareni hamna airport? Huu wivu kiini chake ni nini?

Nimekuriport kwa mods wakeshe na ww kwa ban😒!
 
Back
Top Bottom