Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
We imba tenzi..inawezekana hujakutwa na mazito....maybe pastors na manabii wengi hawajui exactly kutegua mitego Kama ilivotegwa...maana kazi yao kusema navunja..nachoma ..naunguza....ushawahi kufunga tatu kavu wewe..??uko tulikuepo na now we need a fast solution as soon as possibleYesu kwetu ni rafiki
Hwambiwa haja pia
Ukiomba kwa Babaye
Maombi asikia.
Lakini twajikosesha
Twajitweka vibaya
Kwamba tulimwomba Mungu
Dua angesikia.
Una dhiki na maonjo?
Una mashaka pia?
Haifai kufa moyo maombi asikia.
Ni tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Na rehema za daima
Ni dawa yake njema.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app