madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Mkuu utazidi kupoteza tuuNimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utazidi kupoteza tuuNimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu
Hatari Sana nenda Ghana ya Tanzania fika Mwanza nenda mwalon uliza mtumbwi unaoenda Ghana au UkaraOoh! Binafsi nishavuruga kote huko kwamsisi,kwedishamba handeni,korogwe ,mafuleta bado nnampango kama vip nende Ghana
In Bishop Mpemba's VoiceUtuache na mwendazake wetu...ni wivu tu!..wewe wasukuma unawaonea tu wivu!agayaaa(in sukuma's voice)
Queen nitakulipa hela yako mambo ya kupigana mabusha noma jombaa!Ukimpta nitag mkuu..kuna jamaa namudai 1M nisha peleka polic kila nikimpeleka kesho yake namuona uraian adi nimechoka kudai[emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2]Queen nitakulipa hela yako mambo ya kupigana mabusha noma jombaa!
Neno lako alitoki bure babu[emoji4]Jambo dogo sana... Wala sikushauri ufanye lolote .. Kama tutapewa uhai baada ya mwaka turudi kwenye hii post utaniambia
Huyo shemeji yako kama kweli kamkosea ndugu yako kihivyo mabaya yanamsubiri
[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua unaposema yesu yupo hatujakataa...ila tunataka ndumbas...kutatua tatizo haraka sana
Binti mlokoleYesu kwetu ni rafiki
Hwambiwa haja pia
Ukiomba kwa Babaye
Maombi asikia.
Lakini twajikosesha
Twajitweka vibaya
Kwamba tulimwomba Mungu
Dua angesikia.
Una dhiki na maonjo?
Una mashaka pia?
Haifai kufa moyo maombi asikia.
Ni tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Na rehema za daima
Ni dawa yake njema.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hahahahahhahaahhahaaa nimechekaUnajua unaposema yesu yupo hatujakataa...ila tunataka ndumbas...kutatua tatizo haraka sana
Hivi eh?Waganga wa ukweli huwa wanakuja na solution za matatizo yetu faster huku tukiendelea na ibada zetu iwe kanisani au msikitini.
Mmh hii habari naona ni zaidi ya ulivyotusimulia... Pita na mmoja wengine watie adabuHivi tunavyozungumza ndgu yangu yupo mahakamani kuna kesi inayoendelea kwaajili yake shemj kaenda kushtaki kwakua ndgu yangu anamsumbua na ukicheki wana watoto 6 na yule hawara sasa katafuta gang wanamtafuta kwaajili ya kumuua, kuna black America mmoja ndio kaamua kumfadhili yupo ndani mda wote anatembea kwa kificho ficho, na huyo hawara ni kutoka congo. Wajumbe inauma hii sio utani utani
Nimekwambia nitajie shida moja ambayo Mungu haiwezi.Jibu...makanisa mawili ya kilokole yaliomba na kufunga baada ya mdogo wangu kuumwa ugonjwa ambao hospital hauonekani....akafariki...hapo ndipo nikaenda kwa wataalamu wakasema ashachukuliwa ni vile hatukujua mapema....Sasa kwa scenerio Kama hiyo utanambia Nini..? Alafu tu kifupi Namimi nshawahi kuwa mlokole Tena Yule wa kufunga Hadi tatu kavu...so Yesu yupo na anaponya..ila Mimi na waganga ...waganga na mimi,,,mpaka serikali iingilie kati mi ndo ntaacha kwenda kwa waganga
Inashangaza Sana watu wanamuacha Yesu ambaye ni jibu la mambo yote,wanakwenda kwa wanadamu.Binti mlokole
Mpaka karne hii mnategemea kuroga????Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Kakako ni marioo?Hivi unajisikia vip kakaako mkewe ambae ni shemeji yako anamuingiza hawara ndani na unajua na kuona dhambi inayofanyika kakaako anafukuzwa ndani mbele ya hawara yake nae yupo hapo hapo kweny nyumba mnayoishi . Ngoja niishie hapo ...
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Hiyo imetulia.Hakuna ndumba za kumfanya mdeni akulipe! Sana sana unatoa onyo na muda..
Muda ukipita dondosha mmoja halafu wengine wapate taarifa
Na hasa sie wa kiafrika. Ndumba nangae ni lazimaUnajua unaposema yesu yupo hatujakataa...ila tunataka ndumbas...kutatua tatizo haraka sana