Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
𝗡𝗷𝗼𝗼 𝗻𝗶𝗸𝘂𝗽𝗲 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗺𝘁𝘂 𝗳𝗹𝗮𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗲 𝗻𝗮 𝗸𝗲𝗹𝗲𝗹𝗲. 𝗠𝗮𝘁𝗼𝗸𝗲𝗼 𝘂𝘁𝗮𝘆𝗮𝘀𝗶𝗸𝗶𝗮 𝗵𝘂𝗸𝗼 𝗵𝘂𝗸𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼.

𝗨𝗸𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗮𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗶𝗲 𝘀𝗵𝘂𝗴𝗵𝘂𝗹𝗶 𝗻𝗷𝗼𝗼 𝗺𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝘂𝗼𝗻𝗮𝗻𝗲

𝘀𝗶𝗻𝗮 𝗹𝗼𝗻𝗴𝗼 𝗹𝗼𝗻𝗴𝗼 𝗷𝘂𝘂 𝘆𝗮 𝗵𝗶𝗹𝗶, 𝗮𝗸𝗶𝗸𝘂𝘁𝗮𝗽𝗲𝗹𝗶 𝗻𝗷𝗼𝗼 𝘂𝗻𝗶𝘂𝗺𝗯𝘂𝗲 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝗷𝗳
 
Vipi na masturbation kwa walokole inaruhisiwa sio.

Kwisha habari yako!
 
Hivi unajisikia vip kakaako mkewe ambae ni shemeji yako anamuingiza hawara ndani na unajua na kuona dhambi inayofanyika kakaako anafukuzwa ndani mbele ya hawara yake nae yupo hapo hapo kweny nyumba mnayoishi . Ngoja niishie hapo ...
Sasa si umwambie kaka yako aache kuntegenea mke wake!
 
Nakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Nitafutie nataka ni deal na wote waliohusika kwenye kuleta hizi wanaita kodi za kizalendo!!
 
Nimemkumbuka pia mganga wa pale Ukerewe, alimrudishia jamaa bida zake zilizoibiwa, aliwapa watu wapige kazi boda mpya 3 alafu wao wakajiona masonko wakatoroka nazo kila mtu akahama mkoa, kilichofuatia kila mmoja wao anakuja mbio kutoka huko alikokuwa anapiga mwano anamtafuta mwenye boda na kuangukia pale pale anakata moto[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari mkuu.
Samahani naomba unielekeze vizuri namna ya kumpata huyu mganga.
 
Mtani nilijua ungekuja tu, nyie wapare wanatusumbua sana mjini huku, hatulali, tukilala tunaamka miguu michafu
Ha haaa haaaa
 
Kuna mwingine yeye ni kiboko yupo Kigoma anaweza akakufanyia kazi yako kwenye simu ili mradi umpe jina lako ama la adui yako inategemea na shida uliyo nayo
kuhusu malipo ni baada ya kazi
Kama malipo ni baada ya kazi naomba namba yake mkuu
 
Kuna mwingine yeye ni kiboko yupo Kigoma anaweza akakufanyia kazi yako kwenye simu ili mradi umpe jina lako ama la adui yako inategemea na shida uliyo nayo
kuhusu malipo ni baada ya kazi
Ahsante Mkuu,naomba namba zake tafadhari
 
Back
Top Bottom