Mbuguni TPC
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 535
- 405
walewaleKuna mwingine yeye ni kiboko yupo Kigoma anaweza akakufanyia kazi yako kwenye simu ili mradi umpe jina lako ama la adui yako inategemea na shida uliyo nayo
kuhusu malipo ni baada ya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walewaleKuna mwingine yeye ni kiboko yupo Kigoma anaweza akakufanyia kazi yako kwenye simu ili mradi umpe jina lako ama la adui yako inategemea na shida uliyo nayo
kuhusu malipo ni baada ya kazi
Una uhakika wanazo hizo pesa za kukulipa?Nimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu
Kama ni watu humu JF wapo kama wawili mshana na mzizimkavu. Ila kama ni eneo nenda mkoani simiyu sehemu moja panaitwa GamboshiNina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Afrika!!! Mhe. Mwigulu hivi wale wapaka kucha rangi wanalipa tozo? Nahisi wanawateja sana waongezewe tu hamna namna!Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
sikuwa makini, wakati nafungua ndyo nakajua lengo la jamaa na nikarejea vizuri tittle.
Aisee naomba unipm nipate namba zako nitakuja mwanza...𝗡𝗷𝗼𝗼 𝗻𝗶𝗸𝘂𝗽𝗲 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗺𝘁𝘂 𝗳𝗹𝗮𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗲 𝗻𝗮 𝗸𝗲𝗹𝗲𝗹𝗲. 𝗠𝗮𝘁𝗼𝗸𝗲𝗼 𝘂𝘁𝗮𝘆𝗮𝘀𝗶𝗸𝗶𝗮 𝗵𝘂𝗸𝗼 𝗵𝘂𝗸𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼.
𝗨𝗸𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗮𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗶𝗲 𝘀𝗵𝘂𝗴𝗵𝘂𝗹𝗶 𝗻𝗷𝗼𝗼 𝗺𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝘂𝗼𝗻𝗮𝗻𝗲
𝘀𝗶𝗻𝗮 𝗹𝗼𝗻𝗴𝗼 𝗹𝗼𝗻𝗴𝗼 𝗷𝘂𝘂 𝘆𝗮 𝗵𝗶𝗹𝗶, 𝗮𝗸𝗶𝗸𝘂𝘁𝗮𝗽𝗲𝗹𝗶 𝗻𝗷𝗼𝗼 𝘂𝗻𝗶𝘂𝗺𝗯𝘂𝗲 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝗷𝗳
Mwafrika hamjui yesu Wala Muhammad,achana madini za kuletwa nduguNjoo kwa Kristo wewe jamaa, achana na hao watumishi wa ibilisi.
YESU NI MWOKOZI
Unataka kumuelekeza kwa adamu ngaidoa au Nan pale???Kama upo dar panda gar zakwenda tanga muda huu shuka kwedikazu karibu na Kabuku alafu niambie nikupe maelekezo au nenda mpka muheza pale kabla ya kufika muheza stend Kijiji Cha mwisho Kuna matunda na traffic huwa wanasimama shuka hapo alafu nikupe maelekezo
HahahahaNenda kule mlimani Ugweno, zungumza na wazee. Wanunulie kahawa na uwe na kauli nzuri.
Kama umepata mganga niambie na mimi aisee Kuna mtu nataka nimpige radi ya kiuno sitaki ushauriNina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Hebu nipe na mimi𝗡𝗷𝗼𝗼 𝗻𝗶𝗸𝘂𝗽𝗲 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗺𝘁𝘂 𝗳𝗹𝗮𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗲 𝗻𝗮 𝗸𝗲𝗹𝗲𝗹𝗲. 𝗠𝗮𝘁𝗼𝗸𝗲𝗼 𝘂𝘁𝗮𝘆𝗮𝘀𝗶𝗸𝗶𝗮 𝗵𝘂𝗸𝗼 𝗵𝘂𝗸𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼.
𝗨𝗸𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗮𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗶𝗲 𝘀𝗵𝘂𝗴𝗵𝘂𝗹𝗶 𝗻𝗷𝗼𝗼 𝗺𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝘂𝗼𝗻𝗮𝗻𝗲
𝘀𝗶𝗻𝗮 𝗹𝗼𝗻𝗴𝗼 𝗹𝗼𝗻𝗴𝗼 𝗷𝘂𝘂 𝘆𝗮 𝗵𝗶𝗹𝗶, 𝗮𝗸𝗶𝗸𝘂𝘁𝗮𝗽𝗲𝗹𝗶 𝗻𝗷𝗼𝗼 𝘂𝗻𝗶𝘂𝗺𝗯𝘂𝗲 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝗷𝗳
Hebu Peana maelezo ni wapi anapatikanaHabari mkuu.
Samahani naomba unielekeze vizuri namna ya kumpata huyu mganga.
Ahsante Mkuu,naomba namba zake tafadhari
Wataka ukamroge nani?Kama malipo ni baada ya kazi naomba namba yake mkuu
Kuna mtu ananisumbua sana kwa kweli. Mwaka wa tatu huu sasa mbishi 'kunielewa', sijui kashikwa na nani AR huko. Ngoja nijaribu upande huu labda atalegeza ................Wataka ukamroge nani?
Basi ukipata hiyo namba ya mganga unipee namimi nimgangie mtu yuko huko nchi ya watu kila siku anaahidi kuja na haji.Kuna mtu ananisumbua sana kwa kweli. Mwaka wa tatu huu sasa mbishi 'kunielewa', sijui kashikwa na nani AR huko. Ngoja nijaribu upande huu labda atalegeza ................
Je unafahamu kwenda kwa mganga ni kuingia mkataba na mapepo for short term results? unaijiingiza wewe na vizazi vyako kwenye laana kubwa sana. Mungu hachezewi, aya mkuu, kila mtu ana Mungu wake au sio?Nimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu