ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Habari za maisha wakuu,
Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia.
Nimechungulia kayika tovuti kuu ya serikali lakini naona inapwaya information ilizonazo hazijitoshelezi ofisi nyingi tu hazijatajwa je zimeorozeshwa katika chapisho gani?
Asanteni