Wapi nitapata shule ya michezo 75% na 25% elimu darasa

Wapi nitapata shule ya michezo 75% na 25% elimu darasa

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,201
Reaction score
16,246
Habari zenu wanajukwaa!

Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani.

Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi afu darasani wanaingia labda saa 3 mpaka saa 7 mchana wanapata lanchi.

Saa kumi wanaingia uwanjani mpaka saa mbili ama saa moja jioni wanapumzika. Wanasoma like two hours afu wanalala saa nne mpaka saa kumi. Yaani iwe ni ratiba Yao ya kila siku.

Wanasoma ili wajue Mambo basics za maisha na sio kukomalia kisomo Kama ndo kila kitu in life.
Ama hata kituo kilichojikita katika michezo pekee ama kwa kiwango kikubwa.
 
Tunyweni mbege jamani

rombo-puic.jpg
 
Bongo vipaji havijaliwi sana ndio mana ni vigumu kupata vituo vya hivyo
 
wapi yako ina mipaka?au upo tayari kumpeleka hata nje ya mipaka ya mahali ulipo?
 
Kwani Dogo Ushampima Akili Ukagundua hapo hamna Kitu?.....bora aelekee kwenye fani nyingine..?
 
Back
Top Bottom