Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona hiyo namba uliyoweka hapa nakupigia haupokei...🤨Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
Mbona amesema anazalisha lita 40 kwa siku, hujaona..😎Kwa siku unazalisha lita kiasi gani? Na ni maziwa ya nini?
Pale juu amesema anapatikana huku Ushirombo maeneo ya Katente..🙄Upo wapi? Maziwa gani? Unazalisha kiasi gani kwa siku nk
Hajawa makini badoMbona amesema anazalisha lita 40 kwa siku, hujaona..😎
Tengeneza mtindi wakoWakuu samahani kwa kuchelewa kujibu,
Mimi napatikana mkoani Morogoro na ndiko lilipo shamba langu la ng'ombe idadi elfu 80 wanaozalisha lita 1,600,000 kwa siku, mwakani nategemea kuongeza uzalishaji kufikia mifugo elfu 200.
Kuna wakati bwana mdogo wa ASAS Iringa alikuwa akija kuchukua maziwa kwangu lakini naona ameshindwa kuchukua maziwa yote ndio maana nimeamua kutafuta wateja wengine wa nje ya nchi na ndani ya nchi.
Karibuni tuendelee na mjadala.
Nimebaki kucheka tuWakuu samahani kwa kuchelewa kujibu,
Mimi napatikana mkoani Morogoro na ndiko lilipo shamba langu la ng'ombe idadi elfu 80 wanaozalisha lita 1,600,000 kwa siku, mwakani nategemea kuongeza uzalishaji kufikia mifugo elfu 200.
Kuna wakati bwana mdogo wa ASAS Iringa alikuwa akija kuchukua maziwa kwangu lakini naona ameshindwa kuchukua maziwa yote ndio maana nimeamua kutafuta wateja wengine wa nje ya nchi na ndani ya nchi.
Karibuni tuendelee na mjadala.
Dar maziwa wanakunywa sanaWakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
TandaleWakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
Vp tanga fresh hawawez kukupa kampani?Wakuu samahani kwa kuchelewa kujibu,