Wapi nitapata soko zuri la maziwa Tanzania?

Wapi nitapata soko zuri la maziwa Tanzania?

Tengeneza kiwanda usindike ili uongeze thamani, soko la maziwa lipo.
 
Wakuu samahani kwa kuchelewa kujibu,
Mimi napatikana mkoani Morogoro na ndiko lilipo shamba langu la ng'ombe idadi elfu 80 wanaozalisha lita 1,600,000 kwa siku, mwakani nategemea kuongeza uzalishaji kufikia mifugo elfu 200.

Kuna wakati bwana mdogo wa ASAS Iringa alikuwa akija kuchukua maziwa kwangu lakini naona ameshindwa kuchukua maziwa yote ndio maana nimeamua kutafuta wateja wengine wa nje ya nchi na ndani ya nchi.

Karibuni tuendelee na mjadala.
Hello boss.
Shamba lako lipo morogoro sehemu gani mkuu?.
 
WaTanzania wengi hua tunafeli sana katika swala zima la matangazo ya biashara/bidhaa kwa kutokuweka key points ili mteja aelewe na akose swali.
Samahani kwa kuandika Tangazo ambalo halijajitosheleza ila ningependa kujua kama kunasehem unahitaji maelezo zaidi
 
Tengeneza kiwanda usindike ili uongeze thamani, soko la maziwa lipo.
Tumesha fanikisha kuwa na kiwanda kidogo nakimesha kaguliwa na watu wa viwango sasa tuna tengeneza packed cultured milk , yoghurt pamoja na fresh milk kilicho baki ni kupata tu soko la uhakika..
 
Back
Top Bottom