Wapi nitapata soko zuri la maziwa Tanzania?

Tengeneza kiwanda usindike ili uongeze thamani, soko la maziwa lipo.
 
Hello boss.
Shamba lako lipo morogoro sehemu gani mkuu?.
 
WaTanzania wengi hua tunafeli sana katika swala zima la matangazo ya biashara/bidhaa kwa kutokuweka key points ili mteja aelewe na akose swali.
Samahani kwa kuandika Tangazo ambalo halijajitosheleza ila ningependa kujua kama kunasehem unahitaji maelezo zaidi
 
Kwa siku unazalisha lita kiasi gani? Na ni maziwa ya nini?
Kwa Siku ninauwezo wakuzalisha hadi lita 2000 za Mtindi pamoja na yoghurt pia ukihitaji fresh milk yanapatikana..
 
Tengeneza kiwanda usindike ili uongeze thamani, soko la maziwa lipo.
Tumesha fanikisha kuwa na kiwanda kidogo nakimesha kaguliwa na watu wa viwango sasa tuna tengeneza packed cultured milk , yoghurt pamoja na fresh milk kilicho baki ni kupata tu soko la uhakika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…