Wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa

Thanks
Kiukweli nyumba ya kuishi haitakiwi choo cha kuchuchumaa,cha kukaa kwa usafi ni kizuri zaidi pia kinafunikwa ni kununua madawa tu ya usafii
Cha kuchuchuma kale kashimo kanakaa wazi maji maji tu wanamwaga yanasambazaa lakin choo cha kukaa pakavu
 
Weka vyoo vya kukaa aiseee
Na kama unaijua bawasir, utakuja kunishukuru baadae.
 
Yaani wakati unapata wazo la kujenga hukujua kabisa mahitaji yako ya maliwato?

Wana JF si watumiaji wa vyoo vyako, mwombe ushauri mkeo na wanao. Nyie ndio wenye nyumba
Nataka kuweka vyoo, naomba ushauri wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa kwenye vyumba vifuatavyo

1. Public toilet
2. Watoto
3. Master

Naomba na sababu?
 
Unapo chuchumaa ngozi ya kitobo kina tanuka sana, na unajikuta unatumia nguvu kubwa kusukuma kiwele.
Kumbuka ukiwa umechuchumaa nisawa na ukiwa umegonoka alafu unatanuliwa.

Tofauti kubwa ukiwa umekaa na hata ngozi inakua ime relax hata unaweza ukawa una fanya koment hapa FJ.
Mkuu, wataalam wanajua namna nzuri ya kuisema hii kitu, mie mwisho nitatukana kwenye maandishi bureeeee
 
Mimi huwa nikijisaidia kwenye Choo Cha kukaa, mzigo hautoki Hadi natamani kupanda juu ya hicho choo😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…