Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaangaliwa nini kifanyike kwa wakati huo..ukipata mgeni kama mzazi mkwe na ni mgonjwa atachuchumaa vipi?
Nitaangaliwa nini kifanyike kwa wakati huo..
Umewahi kufikiri choo cha kukaa Kiwe Public inavyokuwa?hasa kwenye familia kubwa?
BTW Mimi binafsi napendelea zaidi choo cha kuchuchumaa kuliko cha kukaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli nyumba ya kuishi haitakiwi choo cha kuchuchumaa,cha kukaa kwa usafi ni kizuri zaidi pia kinafunikwa ni kununua madawa tu ya usafii
Cha kuchuchuma kale kashimo kanakaa wazi maji maji tu wanamwaga yanasambazaa lakin choo cha kukaa pakavu
Kwa kesi ya uzee ,bora vya kukaa.Nataka kuweka vyoo, naomba ushauri wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa kwenye vyumba vifuatavyo
1. Public toilet
2. Watoto
3. Master
Naomba na sababu?
Mkuu Bawasiri inachangiwa na choo Cha kuchuchumaa?!Weka vyoo vya kukaa aiseee
Na kama unaijua bawasir, utakuja kunishukuru baadae.
Trust me and that's bitter truth...Mkuu Bawasiri inachangiwa na choo Cha kuchuchumaa?!
Trust me and that's bitter truth..
Nataka kuweka vyoo, naomba ushauri wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa kwenye vyumba vifuatavyo
1. Public toilet
2. Watoto
3. Master
Naomba na sababu?
Unapo chuchumaa ngozi ya kitobo kina tanuka sana, na unajikuta unatumia nguvu kubwa kusukuma kiwele.Hatari!
Mimi huwa nikijisaidia kwenye Choo Cha kukaa, mzigo hautoki Hadi natamani kupanda juu ya hicho choo😅Unapo chuchumaa ngozi ya kitobo kina tanuka sana, na unajikuta unatumia nguvu kubwa kusumuma kiwele.
Kumbuka ukiwa umechuchumaa nisawa na ukiwa umegonoka alafu unatanuliwa....
Tofauti kubwa ukiwa umekaa na hata ngozi inakua ime relax hata unaweza ukawa una fanya koment hapa FJ.
Mkuu, wataala wanajua namna nzuri ya kuisema hii kitu, mie mwisho nitatukana kwenye maandishi bureeeee