Wapi pa kurekebisha Thamani hii?

Wapi pa kurekebisha Thamani hii?

Druggist

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
439
Reaction score
528
Wakuu habari za majukumu.Mtaalam àmenipa hii draft ya ramani.Naomba Maombi wapi pa kurekebisha.Niayangu ni Nyumba ya Vyumba 4 Vyote Self,inaweza kutumika Kijijini lakini watu wakiondoka inakodishwa kama AirBnB/Apartment
Kwa anayehitaji.
Ahsante
17179978_02a450112e45400dbd2752b59e84a005_jpeg_jpeg62bd6eede3f9fbf909167e7f2dcffe85.jpeg
 
Itakua kijiji cha mwendokasi tu


KAZI ni kipimo cha UTU!!!
 
1. Jengo ni kubwa na lilivyo msitatili likiezekwa litakuwa kama kifusi, ajaribu kuongeza kona.

2. Dining kuwa sehemu ya kupita kwenda chumbani naona haijakaw sawa

3. Sehemu ya kufulia kuwa karibu na master sio sawa

4. Hakuna choo cha jumuiya

5. Hiyo sehemu ya kuingia sebureni ni matumizi mabaya ya eneo,
 
Back
Top Bottom