1. Jengo ni kubwa na lilivyo msitatili likiezekwa litakuwa kama kifusi, ajaribu kuongeza kona.
2. Dining kuwa sehemu ya kupita kwenda chumbani naona haijakaw sawa
3. Sehemu ya kufulia kuwa karibu na master sio sawa
4. Hakuna choo cha jumuiya
5. Hiyo sehemu ya kuingia sebureni ni matumizi mabaya ya eneo,