Wapi pazuri kula bata na kujiachia mkoa wa Mtwara na bebe wangu?

Wapi pazuri kula bata na kujiachia mkoa wa Mtwara na bebe wangu?

[

Je NI SEHEMU GANI AMBAYO NAWEZA CHILL na bebez ambapo kumetulia nq haitokuwa kero kwa mtu mzima

Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

1550505083862.png
 
Sehemu gani nzuri kwa kula Bata na kujiachia na bebez MTWARA?

Nielekee kwenye point direct.

Baada ya kutoa bango langu la kutafuta mzee kibosile, mwenye pesa isiyokuwa ya mawazo mawazo

Nashukuru nimefanikiwa kupata bebez anayenichafua kwa noti za wekundu wekundu zisizohesabika.

Sasa anahitaji twende mtwara, kuna mambo yake anayatekeleza uko, ila anataka mlimbwende nanabooty niwe pembeni yake.

Yani mimi ndo stumu yake kila anionapo

Je, kwa upande wa kula bata amenambia nijaribu kupeleleza kwa Mtwara hizo siku chache tutazokuwa huko maana yeye si mtu wa bata anataka anifurahishe nanabooty

Je NI SEHEMU GANI AMBAYO NAWEZA CHILL na bebez ambapo kumetulia na haitokuwa kero kwa mtu mzima

Yani kwenyewe hakuna fujo na kupo classic niweze kujiachia kwa uhuru na babu wangu?

Hata akiniminya tako kidogo na kunikiss watu wasitutolee macho sehemu iliyotulia.

Onyo: sitaki mambo sijui ya guest au lodge ilo sio hitaji letu, tunataka kiwanja cha kujiachia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za kuchafua mabinti kwa pesa zilikuwa kabla ya 2016 Jan, we huna cha bebe wala kunguru unatafuta utongozwe PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom