Sehemu gani nzuri kwa kula Bata na kujiachia na bebez MTWARA?
Nielekee kwenye point direct.
Baada ya kutoa bango langu la kutafuta mzee kibosile, mwenye pesa isiyokuwa ya mawazo mawazo
Nashukuru nimefanikiwa kupata bebez anayenichafua kwa noti za wekundu wekundu zisizohesabika.
Sasa anahitaji twende mtwara, kuna mambo yake anayatekeleza uko, ila anataka mlimbwende nanabooty niwe pembeni yake.
Yani mimi ndo stumu yake kila anionapo
Je, kwa upande wa kula bata amenambia nijaribu kupeleleza kwa Mtwara hizo siku chache tutazokuwa huko maana yeye si mtu wa bata anataka anifurahishe nanabooty
Je NI SEHEMU GANI AMBAYO NAWEZA CHILL na bebez ambapo kumetulia na haitokuwa kero kwa mtu mzima
Yani kwenyewe hakuna fujo na kupo classic niweze kujiachia kwa uhuru na babu wangu?
Hata akiniminya tako kidogo na kunikiss watu wasitutolee macho sehemu iliyotulia.
Onyo: sitaki mambo sijui ya guest au lodge ilo sio hitaji letu, tunataka kiwanja cha kujiachia.
Sent using
Jamii Forums mobile app