Wapi Rachel A Temu??

Status
Not open for further replies.
Hata mimi nimestuka, huyu ametumwa au ni mamaa ya maisha bora a.k.a wengine wote walala hoi

atakua ametumwa na mange kimambi,huyo demu limbukeni sana sijawahi kuona.Moderators nashangaa wanaondoa thread zinazomuhusu Mange.eti naye anataka kugombea Ubunge.Jitu zima limeishi nje lakini lishamba kweli nimeona kwenye blogs zake likitangaza kugombea ubunge hebu ona tamko lake


‘NAOMBENI KUCHUKUA NAFASI HII KUTANGAZA RASMI
nia ya kugombea ubunge mwaka 2015 kwa ticket ya Chama changu kipenzi cha
CCM....... Ila naombeni ushari nigombee jimbo gani??
tafadhali nichagulieni jimbo la Dar, mikoani siwezi maana wananchi wataniona wakati wa kampeni tu alafu ntakuwa Dar....
Haya kwa pale Dar jimbo gani??
nichagulieni jimbo la kishua ambalo mpinzani wangu akitaka kutumia hizi picha kuniumiza wananchi wamwambie
hawadanganyikiiii, wamechoka kuongozwa na vitambia wanataka wanawake wenye kisomo na exposure....uwiiiiiii
Kama sio jimbo je ningembee UVCCM au????
Ila inabidi fans wangu wooooooooooooote kwanza siku nikienda kuchukua fomu mje maelfu na maelfu tuwaonyeshe we mean business....
Alafu muwe mnaenda house to house with me kuniombea kura....
IM VERY SERIOUS BY THE WAY.....''
 

Huyu mwanamke ni janga kwa jamii na kwa ukoo wake. Kila kitu anajua yeye, anajiona yeye tajiri, yeye mzuri, yeye ametokea kwa familia bora, yeye kila kitu........ikizidi inakera. kwanza kwa utajiri upi? na akina bakhresa wasemeje?
 
Huyu mwanamke ni janga kwa jamii na kwa ukoo wake. Kila kitu anajua yeye, anajiona yeye tajiri, yeye mzuri, yeye ametokea kwa familia bora, yeye kila kitu........ikizidi inakera. kwanza kwa utajiri upi? na akina bakhresa wasemeje?

View attachment 92434

Huyu Limbukeni .Nimeona akikataza watu wasiende kwenye Show ya diamond Uingereza anajifanya mjuaji sana kumbe bogus.Yupo so desperate kutafuta umaarufu sijui kilaza wa wapi huyu
 
wewe mange kama ni usomi ni wewe na familia yako,wengine hautuhusu kama ulivyo na pesa,unatambia elimu uliyonayo mshamba tu wewe,imekusaidia nini hio elimu kama umeishia kuuza vitenge,kazi ambayo hata wa darasa la saba anaifanya...umewadhalilisha watu vya kutosha hapo huna uhakika nani anakuatack.....pole we i was your number one fan wakati ule blog yako ikionyesha harusi,ila sio sasa ukifungua ni mabully tu mnatambiana kama majogoo mnh
 

Love peace shelter water food ndio muhimu kwa binadamu ndio muhimu .Pray for people who need peace
 
mange anamtukana linda kisa kazaa na wanaume tofauti,wkati na yeye ana watoto wawili baba tofauti,kweli nyani haoni his behind
 
mange anamtukana linda kisa kazaa na wanaume tofauti,wkati na yeye ana watoto wawili baba tofauti,kweli nyani haoni his behind

Demu wa hovyo sana .mambo yake ni ya kitaahira taahira.Huyu ndiye anayefanya wabongo wadharaulike
 
Amemleta Rachel Temu ili amchafue matokeo yake yeye ndio anachafuliwa. we mdada wa miami grow up
 
Demu wa hovyo sana .mambo yake ni ya kitaahira taahira.Huyu ndiye anayefanya wabongo wadharaulike

my dear acha tu,alimtukana joyce kiria kuwa aliishia la saba nashangaa ameishia kufanya kazi ambayo hata darasa la saba anaweza kuifanya mnh:confused3:
 
huyu si bure huyu...
Naskia harufu za ufukunyunyu wa mtaa wa vitenge from nanhiii...vs walala hoooi bin taaban

Samahani naomba nisimuongelee huyu tajiri, mie kapuku nitaongea haabari za kapuku wenzangu. au na wewe ni class ya matajiri?
 
Bingwa wa mabifu...Muke ya Muzungu!!
 
Hiki ki mange kijinga kabisa yaani kinachefua sana watu halafu kibayaaa...kwa linda mbona hiki ni ki house girl tuuu....halafu kinaona mzungu cjui nn f&*&& ur a&^**....mzungu mwenyewe anaonekana mzungu pori kachanganya na mkosovo....eti kimesoma MBA mavi yake hakijui hata deals za watu kuclaim "bankruptcy" ma footballers kibao wa UK wanaclaim hivyo na huku bank kuko vizuri hizo ni mbinu za kibiashara eti una MBA ya dubai heeheehee.......hovyooooo domo lake shombo tupu...mkosovo anavumilia eeh!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…