Confederate Spy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 426
- 145
Hata mimi nimestuka, huyu ametumwa au ni mamaa ya maisha bora a.k.a wengine wote walala hoi
atakua ametumwa na mange kimambi,huyo demu limbukeni sana sijawahi kuona.Moderators nashangaa wanaondoa thread zinazomuhusu Mange.eti naye anataka kugombea Ubunge.Jitu zima limeishi nje lakini lishamba kweli nimeona kwenye blogs zake likitangaza kugombea ubunge hebu ona tamko lake
‘NAOMBENI KUCHUKUA NAFASI HII KUTANGAZA RASMI
nia ya kugombea ubunge mwaka 2015 kwa ticket ya Chama changu kipenzi cha
CCM....... Ila naombeni ushari nigombee jimbo gani??
tafadhali nichagulieni jimbo la Dar, mikoani siwezi maana wananchi wataniona wakati wa kampeni tu alafu ntakuwa Dar....
Haya kwa pale Dar jimbo gani??
nichagulieni jimbo la kishua ambalo mpinzani wangu akitaka kutumia hizi picha kuniumiza wananchi wamwambie
hawadanganyikiiii, wamechoka kuongozwa na vitambia wanataka wanawake wenye kisomo na exposure....uwiiiiiii
Kama sio jimbo je ningembee UVCCM au????
Ila inabidi fans wangu wooooooooooooote kwanza siku nikienda kuchukua fomu mje maelfu na maelfu tuwaonyeshe we mean business....
Alafu muwe mnaenda house to house with me kuniombea kura....
IM VERY SERIOUS BY THE WAY.....''