utasutwa weweKumbe rafize wanamjua Mange anaiogopa Jf ! Hii imenifurahisha sana . Kweli mambo ya kina bidada wa kileo ni kuwaachia wenyewe ...huwa nikitaka kuondoa msongo wa mawazo napita jukwaa hili ,hapakosekani jambo .
Siogopi coz wakinisuta nakuita uje uwakomeshe .utasutwa wewe
mimi kupigana sijui kwa kweliSiogopi coz wakinisuta nakuita uje uwakomeshe .
mimi kupigana sijui kwa kweli
madame unajua sio lazima upendwe na watu wote sijaona kosa lake ...labda hayo matusi ya kutukana naona group lake wote wanatukanana sio kama anatukana peke yake 😛ray2:
bado jibu halijapatikana??
nilipatie wapi ndugu naona wamedeviate kumshambulia mange the great........muke ya muzungu...thread inahusu habar za Rachel A Temu...mange mukimuhitaji mumuanzishie jithread