Wa Mjengoni
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 480
- 128
Ni mara ya kwanza kuuguliwa na kukatika shock-up za mbele HONDA CR-V toka niinunue.
Niko Tokyo (Tukuyu) naomba msaada anayejua bei nijipange shs ngapi? Ikiwezekana nielekeze na duka kabisa nisizunguke sana jijini Dar nakuja j'tatu.
Thanx in advance guys!