Wapi Shock-up za HONDA CR-V?

Wapi Shock-up za HONDA CR-V?

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
480
Reaction score
128
Ni mara ya kwanza kuuguliwa na kukatika shock-up za mbele HONDA CR-V toka niinunue.

Niko Tokyo (Tukuyu) naomba msaada anayejua bei nijipange shs ngapi? Ikiwezekana nielekeze na duka kabisa nisizunguke sana jijini Dar nakuja j'tatu.

Thanx in advance guys!
 
Nina namba ya duka la spea za Honda, ukitaka naweza kuku pm, umuulize kila kitu. Nina honda hiyo pia
 
Nina namba ya duka la spea za Honda, ukitaka naweza kuku pm, umuulize kila kitu. Nina honda hiyo pia

Mkuu Igwachnya asante fanya hivyo ni PM sasa.

Itanisaidia sana kutokupoteza muda kwa foleni.
 
Back
Top Bottom