Wapi Simba na Yanga walipo achana?

Wapi Simba na Yanga walipo achana?

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Nawasalimu wale wote wapenda ukweli na uwazi

Pia napenda kuwakumbusha kila mnapopitia makala hizi basi mfanye ulinganifu na yanayotekea huko kwenye timu zenu.

Siku kadhaa niligusia namna ambavyo SIMBA imekuwa ikiulaghai umma wa mashabiki wake kwa kutumia nguvu ya mitandao, vyombo vya habari, wachambuzi na wadau wengine katika kuwalisha matangopori juu ya uwekezaji hewa uliofanyika, na ninadiriki kusema kuwa hili ni jipu kama majibu mengine.

Leo ni Machi 15, 2021 Gazeti la Championi - Jumatatu limekuja na habari kubwa kwenye ukurasa wa mbele tena kwa maandishi makubwa wakisifu namna ambavyo klabu ya Simba imepiga hatua mbele kwenye mafanikio huku wakiitupa Yanga mbali kwa mujibu wa taarifa zao za kuungaunga.

Tuelewane kuwa hakuna mwanamichezo au mpenda maendeleo aliyetayari kubeza juhudi na jitihada za kuelekea kwenye mafanikio, ila hoja inakuja namna gani maendeleo hayo yatafikiwa.

Sasa kwa pamoja tuanze kupata maelezo na kujiuliza yafuatayo[emoji779][emoji779]

Nakumbuka mara baada ya Mo kuchukua asilimia 49 za uwekezaji kwenye Klabu ya Simba imepita zaidi ya miaka miwili, sasa tuanze kwa kujiuliza tangu amechukua nafasi ya mwekezaji mkubwa kutoka kwa wanachama.

Swali la kujiuliza tangu ameichukua timu hiyo ukitoa udhamini ambao anaufanya kupitia bidhaa zake, Simba wamenufaika vipi kiuchumi?

Atakuja mtu atakuambia Simba wamefungua Mo Arena kule Bunju kitu ambacho ni upotoshaji mkubwa kwa maana uwanja wa Bunju ulikuwepo muda mrefu kabla Mo hajaingia Simba kama mwekezaji tangu enzi ya akina Aveva, Ezekiel Kamwaga ambaye aliwaamasisha wanasimba kwenda kufyeka Uwanja ulikuwepo na nyasi bandia ziliagizwa, alichofanya Mo ni kudandia gari kwa mbele na kuwafikisha standi na yeye kuwa mshindi kwa kazi ya wengine ambao leo hata majina yao hayatajwi.

Ataibuka mwingine atakuambia Simba imeingia hatua ya makundi na kucheza robo fainali katika michuano ya Klabu Bingwa chini ya Mo, ila kabla hajameza mate mwambie Simba sio mara ya kwanza kuingia makundi au kucheza robo fainali, miaka ya 1990 Simba ilicheza fainali ya Kombe la washindi; mwanzoni mwa miaka ya 2000 Simba ilitinga robo ikiwa na wakina Kaseja hivyo hakuna jipya6 ambalo Mo ameongeza zaidi ya ujanjaujanga.

Hoja ya usajili bora ambayo inasemeka ni usanii mtupu juzi tu hapa imetumia zaidi ya Sh. milioni 600 kusajili wachezaji ambao hata mazoezini hawatumiki. Halafu mtu anasema usajili bora...ni ajabu sana.[emoji2377][emoji2377]

]Ishu ya kuchukua ubingwa mara tatu hili sio geni tena hao Yanga ambao ndio wanasemwa kuwa wameachwa na Simba wametoka kuchukua ubingwa huo mara tatu huku Simba wakiteswa na hilo.

Pia takwimu zipo wazi kuwa Yanga ameifunga Simba mara nyingi zaidi, imetwa ubingwa mara nyingi zaidi sasa kusema leo Simba wanapepea ni ulimbukeni wa kiwango cha lami.

Tujiulize ile ahadi aliyoitoa Mo kuwa ataongeza idadi ya wanachama wa Simba imefikia wapi?[emoji3480]

Tuliambiwa Simba imeingia mkataba na Benki ya Equity ili kutoa kadi za uanachama sasa atoke kiongozi yeyote aseme tangu wameingia makubaliano hayo wamepata wanachama wangapi? Nina uhakika hata 10,000 hakuna.

Kusema kuwa Simba wamefanikiwa chini ya Mo ni uwongo wa wazi:

Simba hawajafanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato wala kuboresha vile walivyo navyo.

Wameshindwa kuongeza idadi ya wanachama zaidi wameendelea kumnufaisha Mo kwenye bidhaa zake.

Wameshindwa kuweka wazi gawio wanalopata kwa mwaka kutoka kwa Mo kama faida.

Hatima ya Sh. bilioni 20 kama kifungua uchumba cha ushirika wao haijulikani.

Zimezaliwa Simba 5 ndani ya timu moja na kuweka rehani asili ya klabu husika.

Wamepoteza nembo ya asili na kuwa na simba mpya chini ya mdhamini bila wenyewe kujua.

NB Kifupi timu inapoteza uhasili wake na taratibu itakuwa mali ya familia hapo ndipo mabadiliko yatatokea kwa mujibu wa matakwa ya familia..

***** *Tukutane mtoni...
 
Ngoja waje uone watakavyo kupalua. Hao hawataki kusikia chochote hasi kumhusu Mwamedi!!!
 
Ni aibu zama hizi kuwa na mtu mwenye fikra hasi na mfu za kuhisi alipoamkia Yanga jana ndo ilipo Simba. Mpira ni mchezo wa wazi sio ule wa chumbani na kila mpenda soka wa kweli akiangalia kinachofanyika uwanjani upande wa Simba na Yanga kuna utofauti mkubwa kama mbingu na ardhi.

Tumeshuhudia kwa miaka kadhaa hapa katikati kabla ya ujio wa Mo simba ilivyokuwa na ilivyo kwa sasa kila kitu kiko dhahiri kuwa Simba ya sasa ilipofika itaihitaji Yanga miaka 20 kupafikia kama wataendelea na utaratibu walionao kwa sasa wa kuendesha timu.

Endeleeni kujilisha upepo ukidhani mko sawa na Simba ya zama hizi wakati mwenzio anajimilikisha uchumi wa soka la Tanganyika ili awe kama Bayern munich Ujeruman; Gormahia Kenya, Al ahyl Misiri, Juventus Italy n.k.

Mwisho japo si kwa umhimu, suala la nani anaimiliki Simba halina mashiko kwa mpenzi wa Simba kikubwa ushundi na mataji vipatikane. Timu zote dunia zinazofanya vizuri zinamilikiwa na mtu mmoja au wachache, na hao ndo wanaonufaika na timu kifedha wengine tuliobaki tunafurahia ushindi basi. Kama Mo anaimiliki Simba wewe mshabiki wa Mtwara, Vyawa, Kasulu n.k unapata hasara gani kama timu inafanya vizuri?

Hebu jitahidi uwe na mawazo mtambuka.
 
... Gazeti la Championi - Jumatatu limekuja na habari kubwa kwenye ukurasa wa mbele tena kwa maandishi makubwa wakisifu namna ambavyo klabu ya Simba imepiga hatua mbele kwenye mafanikio huku wakiitupa Yanga mbali kwa mujibu wa taarifa zao za kuungaunga.
....Nakumbuka mara baada ya Mo kuchukua asilimia 49 za uwekezaji kwenye Klabu ya Simba imepita zaidi ya miaka miwili, sasa tuanze kwa kujiuliza tangu amechukua nafasi ya mwekezaji mkubwa kutoka kwa wanachama.
Nadhani hukutulia kutaka kumuelewa mwandishi, ukakimbilia kuanzisha uzi, ni tatizo la wengi. Mwandishi amezungumzia maendeleo, na akaonyesha nyanja kadhaa kama vile uongozi, usajili, bajeti na viwango vya wachezaji. Wewe ndugu umeamua kuzungumzia suala la uwekezaji wa Mo mwanzo mwisho. Hayo mengine ya mwandishi hujayagusa, ambapo katika utulivu wa uongozi amemuweka Barbara na Msola, usajili amemuweka Luis na Farid Musa, bajeti ameweka vitita vya Simba na Yanga, na viwango ameweka washambuliaji wawili, Kagere na Sarpong.
Sasa jiulize, ukiachana na hiyo ishu ya uwekezaji wa Mo uliyojichagulia wewe, hayo yaliyolinganishwa na mwandishi (uongozi, usajili, bajeti na viwango), yana ubishi wowote?

1615818867756.png
 
Kama bandiko lako unamjibu mwandishi wa gazeti basi ni sawa.

Lakini Simba ya sasa haishindani na Yanga, Simba ina focus malengo yake ya muda mfupi na ya muda mrefu.

Mambo ya kushindana na Yanga yashapitwa na wakati, Simba ya sasa inamalengo ya kuwa klabu kubwa Africa kwa kufika mbali mashindano ya kimataifa, ikiwezekana pia kubeba mataji makubwa.
 
Simba ni wase......ngerema kama walivyowasengerema wengine
Na kesho wanatobolewa na wasudan
 
Tumeachana kwenye point sis tunaongoza ligi wao wako chin yetu
 
Nawasalimu wale wote wapenda ukweli na uwazi

Pia napenda kuwakumbusha kila mnapopitia makala hizi basi mfanye ulinganifu na yanayotekea huko kwenye timu zenu.

Siku kadhaa niligusia namna ambavyo SIMBA imekuwa ikiulaghai umma wa mashabiki wake kwa kutumia nguvu ya mitandao, vyombo vya habari, wachambuzi na wadau wengine katika kuwalisha matangopori juu ya uwekezaji hewa uliofanyika, na ninadiriki kusema kuwa hili ni jipu kama majibu mengine.

Leo ni Machi 15, 2021 Gazeti la Championi - Jumatatu limekuja na habari kubwa kwenye ukurasa wa mbele tena kwa maandishi makubwa wakisifu namna ambavyo klabu ya Simba imepiga hatua mbele kwenye mafanikio huku wakiitupa Yanga mbali kwa mujibu wa taarifa zao za kuungaunga.

Tuelewane kuwa hakuna mwanamichezo au mpenda maendeleo aliyetayari kubeza juhudi na jitihada za kuelekea kwenye mafanikio, ila hoja inakuja namna gani maendeleo hayo yatafikiwa.

Sasa kwa pamoja tuanze kupata maelezo na kujiuliza yafuatayo[emoji779][emoji779]

Nakumbuka mara baada ya Mo kuchukua asilimia 49 za uwekezaji kwenye Klabu ya Simba imepita zaidi ya miaka miwili, sasa tuanze kwa kujiuliza tangu amechukua nafasi ya mwekezaji mkubwa kutoka kwa wanachama.

Swali la kujiuliza tangu ameichukua timu hiyo ukitoa udhamini ambao anaufanya kupitia bidhaa zake, Simba wamenufaika vipi kiuchumi?

Atakuja mtu atakuambia Simba wamefungua Mo Arena kule Bunju kitu ambacho ni upotoshaji mkubwa kwa maana uwanja wa Bunju ulikuwepo muda mrefu kabla Mo hajaingia Simba kama mwekezaji tangu enzi ya akina Aveva, Ezekiel Kamwaga ambaye aliwaamasisha wanasimba kwenda kufyeka Uwanja ulikuwepo na nyasi bandia ziliagizwa, alichofanya Mo ni kudandia gari kwa mbele na kuwafikisha standi na yeye kuwa mshindi kwa kazi ya wengine ambao leo hata majina yao hayatajwi.

Ataibuka mwingine atakuambia Simba imeingia hatua ya makundi na kucheza robo fainali katika michuano ya Klabu Bingwa chini ya Mo, ila kabla hajameza mate mwambie Simba sio mara ya kwanza kuingia makundi au kucheza robo fainali, miaka ya 1990 Simba ilicheza fainali ya Kombe la washindi; mwanzoni mwa miaka ya 2000 Simba ilitinga robo ikiwa na wakina Kaseja hivyo hakuna jipya6 ambalo Mo ameongeza zaidi ya ujanjaujanga.

Hoja ya usajili bora ambayo inasemeka ni usanii mtupu juzi tu hapa imetumia zaidi ya Sh. milioni 600 kusajili wachezaji ambao hata mazoezini hawatumiki. Halafu mtu anasema usajili bora...ni ajabu sana.[emoji2377][emoji2377]

]Ishu ya kuchukua ubingwa mara tatu hili sio geni tena hao Yanga ambao ndio wanasemwa kuwa wameachwa na Simba wametoka kuchukua ubingwa huo mara tatu huku Simba wakiteswa na hilo.

Pia takwimu zipo wazi kuwa Yanga ameifunga Simba mara nyingi zaidi, imetwa ubingwa mara nyingi zaidi sasa kusema leo Simba wanapepea ni ulimbukeni wa kiwango cha lami.

Tujiulize ile ahadi aliyoitoa Mo kuwa ataongeza idadi ya wanachama wa Simba imefikia wapi?[emoji3480]

Tuliambiwa Simba imeingia mkataba na Benki ya Equity ili kutoa kadi za uanachama sasa atoke kiongozi yeyote aseme tangu wameingia makubaliano hayo wamepata wanachama wangapi? Nina uhakika hata 10,000 hakuna.

Kusema kuwa Simba wamefanikiwa chini ya Mo ni uwongo wa wazi:

Simba hawajafanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato wala kuboresha vile walivyo navyo.

Wameshindwa kuongeza idadi ya wanachama zaidi wameendelea kumnufaisha Mo kwenye bidhaa zake.

Wameshindwa kuweka wazi gawio wanalopata kwa mwaka kutoka kwa Mo kama faida.

Hatima ya Sh. bilioni 20 kama kifungua uchumba cha ushirika wao haijulikani.

Zimezaliwa Simba 5 ndani ya timu moja na kuweka rehani asili ya klabu husika.

Wamepoteza nembo ya asili na kuwa na simba mpya chini ya mdhamini bila wenyewe kujua.

NB Kifupi timu inapoteza uhasili wake na taratibu itakuwa mali ya familia hapo ndipo mabadiliko yatatokea kwa mujibu wa matakwa ya familia..

***** *Tukutane mtoni...
Hivi Bro mbona kama unaguswa sana na Simba? Kama kweli una mawazo na maono mazuri si uisaidie Yanga ifike mbali hata ichukue kombe na iwike kimataifa?

Yaan muda wote unawaza tu kuandika mabaya kuhusu Simba kama vile hakuna mazuri yanayofanyika.
 
Ni upuuzi kuilinganisha simba na yanga..

Kwa sasa simba iko mbele ya yanga kwa hatua kadha wa kadha, tatizo ni moja tu kwa simba mo kajitengenezea umungu mtu bila ya mo, simba itashuka kurudi kule ilikotoka(ilikomuacha mtani wake, yanga)

Mo akifa ama akajiweka pembeni sasa simba itapata tabu sana, kikubwa ni simba kuweka mfumo utakaoifanya simba ibaki pale hata mo akichomoka..
 
"Mwisho japo si kwa umhimu, suala la nani anaimiliki Simba halina mashiko kwa mpenzi wa Simba kikubwa ushundi na mataji vipatikane. Timu zote dunia zinazofanya vizuri zinamilikiwa na mtu mmoja au wachache, na hao ndo wanaonufaika na timu kifedha wengine tuliobaki tunafurahia ushindi basi. Kama Mo anaimiliki Simba wewe mshabiki wa Mtwara, Vyawa, Kasulu n.k unapata hasara gani kama timu inafanya vizuri?"

Umemaliza mkuu.
 
Mwisho wa siku mimi kama shabiki nataka kuona team yangu ikifanya vizuri hicho ndicho nahitaji sijui inamilikiwa na nani me hainihusu. Tunashabikia team za ulaya kwani umiliki huko unatuhusu nini?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ndio point wamekomaa nayo eti umiliki. Wao wamilikishe kwa procedures wanazoona zinafaa.
 
Wanasimba wenzangu. Ni aibu sana kukaa kubishana na Hiki Kitopolo. Kinatafuta Kiki kupitia Simba kikitaka nafasi ya usemaji wa Yanga. Achaneni nacho. Simba tunajadiliana mambo na Clubs kama Mamelodi, Kaizer Chiefs, Al Ahly, Tp Mazembe, As Vita n.k.

Hivi vitopolo vinasubiria kushindana na African Sports, Ihefu, Temeke Rangers, Vikindu Sports Club, Moro Combine n.k

Si level yetu hawa achaneni na hiki kiutopolo ambacho kinatafutia kick Simba. Tuendelee na maandalizi ya matches zetu za kimataifa. Yanga wanajiandaa na ligi na azam federation. Hawana jambo la Kimataifa.
 
Nawasalimu wale wote wapenda ukweli na uwazi

Pia napenda kuwakumbusha kila mnapopitia makala hizi basi mfanye ulinganifu na yanayotekea huko kwenye timu zenu.

Siku kadhaa niligusia namna ambavyo SIMBA imekuwa ikiulaghai umma wa mashabiki wake kwa kutumia nguvu ya mitandao, vyombo vya habari, wachambuzi na wadau wengine katika kuwalisha matangopori juu ya uwekezaji hewa uliofanyika, na ninadiriki kusema kuwa hili ni jipu kama majibu mengine.

Leo ni Machi 15, 2021 Gazeti la Championi - Jumatatu limekuja na habari kubwa kwenye ukurasa wa mbele tena kwa maandishi makubwa wakisifu namna ambavyo klabu ya Simba imepiga hatua mbele kwenye mafanikio huku wakiitupa Yanga mbali kwa mujibu wa taarifa zao za kuungaunga.

Tuelewane kuwa hakuna mwanamichezo au mpenda maendeleo aliyetayari kubeza juhudi na jitihada za kuelekea kwenye mafanikio, ila hoja inakuja namna gani maendeleo hayo yatafikiwa.

Sasa kwa pamoja tuanze kupata maelezo na kujiuliza yafuatayo[emoji779][emoji779]

Nakumbuka mara baada ya Mo kuchukua asilimia 49 za uwekezaji kwenye Klabu ya Simba imepita zaidi ya miaka miwili, sasa tuanze kwa kujiuliza tangu amechukua nafasi ya mwekezaji mkubwa kutoka kwa wanachama.

Swali la kujiuliza tangu ameichukua timu hiyo ukitoa udhamini ambao anaufanya kupitia bidhaa zake, Simba wamenufaika vipi kiuchumi?

Atakuja mtu atakuambia Simba wamefungua Mo Arena kule Bunju kitu ambacho ni upotoshaji mkubwa kwa maana uwanja wa Bunju ulikuwepo muda mrefu kabla Mo hajaingia Simba kama mwekezaji tangu enzi ya akina Aveva, Ezekiel Kamwaga ambaye aliwaamasisha wanasimba kwenda kufyeka Uwanja ulikuwepo na nyasi bandia ziliagizwa, alichofanya Mo ni kudandia gari kwa mbele na kuwafikisha standi na yeye kuwa mshindi kwa kazi ya wengine ambao leo hata majina yao hayatajwi.

Ataibuka mwingine atakuambia Simba imeingia hatua ya makundi na kucheza robo fainali katika michuano ya Klabu Bingwa chini ya Mo, ila kabla hajameza mate mwambie Simba sio mara ya kwanza kuingia makundi au kucheza robo fainali, miaka ya 1990 Simba ilicheza fainali ya Kombe la washindi; mwanzoni mwa miaka ya 2000 Simba ilitinga robo ikiwa na wakina Kaseja hivyo hakuna jipya6 ambalo Mo ameongeza zaidi ya ujanjaujanga.

Hoja ya usajili bora ambayo inasemeka ni usanii mtupu juzi tu hapa imetumia zaidi ya Sh. milioni 600 kusajili wachezaji ambao hata mazoezini hawatumiki. Halafu mtu anasema usajili bora...ni ajabu sana.[emoji2377][emoji2377]

]Ishu ya kuchukua ubingwa mara tatu hili sio geni tena hao Yanga ambao ndio wanasemwa kuwa wameachwa na Simba wametoka kuchukua ubingwa huo mara tatu huku Simba wakiteswa na hilo.

Pia takwimu zipo wazi kuwa Yanga ameifunga Simba mara nyingi zaidi, imetwa ubingwa mara nyingi zaidi sasa kusema leo Simba wanapepea ni ulimbukeni wa kiwango cha lami.

Tujiulize ile ahadi aliyoitoa Mo kuwa ataongeza idadi ya wanachama wa Simba imefikia wapi?[emoji3480]

Tuliambiwa Simba imeingia mkataba na Benki ya Equity ili kutoa kadi za uanachama sasa atoke kiongozi yeyote aseme tangu wameingia makubaliano hayo wamepata wanachama wangapi? Nina uhakika hata 10,000 hakuna.

Kusema kuwa Simba wamefanikiwa chini ya Mo ni uwongo wa wazi:

Simba hawajafanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato wala kuboresha vile walivyo navyo.

Wameshindwa kuongeza idadi ya wanachama zaidi wameendelea kumnufaisha Mo kwenye bidhaa zake.

Wameshindwa kuweka wazi gawio wanalopata kwa mwaka kutoka kwa Mo kama faida.

Hatima ya Sh. bilioni 20 kama kifungua uchumba cha ushirika wao haijulikani.

Zimezaliwa Simba 5 ndani ya timu moja na kuweka rehani asili ya klabu husika.

Wamepoteza nembo ya asili na kuwa na simba mpya chini ya mdhamini bila wenyewe kujua.

NB Kifupi timu inapoteza uhasili wake na taratibu itakuwa mali ya familia hapo ndipo mabadiliko yatatokea kwa mujibu wa matakwa ya familia..

***** *Tukutane mtoni...
Umeandika kwa maumivu makubwa ukingozwa na wivu. Kama una uchungu nenda kazae. Kubishana na utopolo ni kupoteza muda tu.
 
Wivu tu

Wewe pumzika kidimbwini tu ndiyo makazi ya vyura ya Simba tuachie wenyewe.
FB_IMG_1613181354054.jpg
 
Back
Top Bottom