Sina muda wakati huu naandika hii comment, nikipata muda ntarudi kutoa darasa fupi kwako na kwa wengine.
Ni vitu ambavyo vipo, mimi Binafsi nimevishuhudia kwa macho baadhi, ila vina mlolongo mrefu sana mpaka vigeuke vikakupe pesa!
Na mlongolongo wake mrefu ndo umefanya Mataperi wakaingia kati hapo, wale waliokurupuka wamepoteza Nyumba na pesa, hata sasa naandika kuna watu wanapoteza pesa na Nyumba...!
Mnachokosea mnakurupuka bila kwanza kupata Knowledge ya hicho unachokihangaikia, mwisho utapoteza pesa na muda wako!