Wapi utaenda kufurahia sikukuu?

Wapi utaenda kufurahia sikukuu?

Serikali itafute muwekezaji kutoka USA au JAMAICA COCO BEACH iwe kama MIAMI beach tofauti na sasa imekuwa ya watoto wa uswazi.
 
Nitakua nyumbani Moshi
Hugos Garden nikitoka hapo
Aamuz Bar & Grill
Namaliza Na Mimiz Tarven

[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Siku nikija Moshi nitakucheki
 
Serikali itafute muwekezaji kutoka USA au JAMAICA COCO BEACH iwe kama MIAMI beach tofauti na sasa imekuwa ya watoto wa uswazi.
Muwekezaji from Jamaica tena,,,😱
 
Back
Top Bottom