Wapi vishikwambi? Mbona mpaka Leo wahusika hawajapewa?

Wapi vishikwambi? Mbona mpaka Leo wahusika hawajapewa?

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Tar 4 nov 2022 waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na wadau wengine wa Elimu huko Dodoma,
Kwa hotuba ile na maelekezo Yale nilitegemea ndani ya wiki tu Vishikwambi vifikishwe sehemu husika!
Lakini mpaka Leo Kimya vipi kunani?
Ni siasa tu au wanasubiri uchaguzi ukaribie?
Loh
 
Duuuh poleni sana.....Hii nchi inawenyewe.....

Siku siasa ikitolewa kwenye mifumo ya elimu tutakuwa na nchi bora sana ya wasomi..

Shida ni siasa kuwa mfumo wa maisha wa Waafrika wote
 
Ulitegemea agizo la Waziri Mkuu aliyekwisha kupuuzwa tangu 2021 lizingatiwe? Wenzako wanatafuta jinsi ya kuingiza hela kwenye huo ugawaji. Utasikia Mwl. anatakiwa kukatwa laki 1 ili asije akakiharibu ila hela yake itawekwa na atarudoshiwa baada ya mwaka, hapo ndio imetoka na wajanja watakuwa wameingiza bil 2.5 ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom