Wapi walipo hawa Legendary wa Jamii Forums

Wapi walipo hawa Legendary wa Jamii Forums

Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF?
Walipatwa na umauti?
Walibadirisha ID?

Wako wapi?

GUDume
Zero Iq
Joseverest

Na wengine wengine wakongwe wa JF
Wamezeeka macho ya awasumbua hivyo lazima wa loose interest na jf ,saizi watakuwa wanashinda vijiwe vya Kahawa Kwa mababu wenzao.
 
Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF?
Walipatwa na umauti?
Walibadirisha ID?

Wako wapi?

GUDume
Zero Iq
Joseverest

Na wengine wengine wakongwe wa JF
Tukishaharibu mambo humu jukwaan au PM tunabadili ID
 
Back
Top Bottom