Wapi walipo hawa Legendary wa Jamii Forums

Wapi walipo hawa Legendary wa Jamii Forums

Sky Eclat, nmeona like yako, mkuu watu wamemis vitu vyako, naomba mwambie na Zero IQ kuwa na papuch inaolewa trh 13/7, imeenda hajaichakata, au kiwanda kilikufa jaman, tutamchangia
 
Kuna mwamba moja alikuwa ana sifa kama mhaya yeye stori zake humu ndani zilikuwa ni kuhusu magari makali makali tupu sijui alipotelea wapi
 
Toka jamii forums ivamiwe na wanafunzi wa sekondari na vyuo,malegend wengi wamepoteza hamu ya kuwemo humu sababu jamii forums imebadirika haina contents zenye akili kubwa kama zamani,ni utoto mwingi siku hz
Aisee umeongea Point sana kuna kipindi kulikuwa na madini sana huku aisee. Ilikuwa unaweza ingia unaomba ushauri wa ndoa, biashara hata kujiendeleza kitaaluma ana wanajamii walikuwa sio wachoyo kukupa mawazo. It was a good time Nao miss sana ile jamii forum.
 
Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF?
Walipatwa na umauti?
Walibadirisha ID?

Wako wapi?

GUDume
Zero Iq
Joseverest

Na wengine wengine wakongwe wa JF
Jana na Leo[emoji112]
 
Back
Top Bottom