Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,793
Reaction score
2,401
Salaam wana JF.

Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam?

Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
 
Mkuu unaishi maeneo hatarishi kiasi unataka kukomaza watoto.

Jitahidi kuwapa elimu ya utambuzi wa viashiria vya hatari na namna ya kuondoka eneo hatarishi kwa haraka.

Tahadhari muhimu kuliko kupambana zama hizi.
Haimaanishi kuwa watoto wapo katika mazingira hatarishi vitu kama kong fu, boxing, swimming, playing piano, music na vinginevyo ni basic at least uwe na kimojawapo.
 
Sahihi kabisa kiongozi. Vijana wangu hao kwa sasa wanaweza kuogelea umbali wa mita 70 bila wasiwasi kabisa. So naona nisogelee kwenye self defence pia wawe fit.
 
Unataka watoto wako wajifunze Kung Fu basi wapeleke misikitini. Misikiti mingi wana program za kufundisha watoto karate Tena bure ila sidhani kama wanafundisha Kungu Fu. .
Unfortunately watoto wa "Wakorintho". Sijui kama watapokelewa huko. Ndo maana nahitaji shule neutral. Sijali sana kama ni Kungu Fu au Karate. Muhimu ni kuwa na basic self defense technique.
 
Mimi mkorinto ila wakati Niko kinondoni B miaka hiyo walikuwa wanapokea watoto wa dini zote msikitini wa mtambani sijui sasa. Ila siku ya kwanza tulilala na tumbo wakawa wanatuvuta miguu iguse masikio. Maumivu yake sio mchezo sikwensa Tena. .

Usije ukawatesa watoto wako Bure Kaa mazoezi magufu. Kungu Fu haifui dafu ukiwa na Shaba aka chuma. Kuwa na uwezo wa iumuliki chuma halafu warithishe watoto wako chuma. Hiyo ndio njia rahisi saa ya kumiliki heshima. .
 
Salaam wana JF.

Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam?

Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.

Sema mazingira wanayokaa tukwambie
Wap
 
Salaam wana JF.

Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam?

Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
Kuna dojo moja Kigamboni pale zamani Nolasco ukiwa pale ukiuliza waonyweshwa. Kuna la mchina mmoja Masaki bahati mbaya nimepasahau jina. Safi sana. Unafanya kile mimi nilifanya kwa tofali langu. Tofali langu (mtoto wa kiume) anajua kuogelea kwa freestyle, anacheza kickboxing na karate, sasa hivi nataka ajifunze chess ni nzuri sana kwa kushape akili ya mtoto katika logical reasoning. Go for it nigga!
 
Salaam wana JF.

Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam?

Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
Dar upo sehemu gani, ukipata dojo wanalofundisha Shaolin utakuwa umeula.Jaribu kupiga hii 0788984028
 
Mimi mkorinto ila wakati Niko kinondoni B miaka hiyo walikuwa wanapokea watoto wa dini zote msikitini wa mtambani sijui sasa. Ila siku ya kwanza tulilala na tumbo wakawa wanatuvuta miguu iguse masikio. Maumivu yake sio mchezo sikwensa Tena. .

Usije ukawatesa watoto wako Bure Kaa mazoezi magufu. Kungu Fu haifui dafu ukiwa na Shaba aka chuma. Kuwa na uwezo wa iumuliki chuma halafu warithishe watoto wako chuma. Hiyo ndio njia rahisi saa ya kumiliki heshima. .
Umeongea upupu. Siku yavabe ndio utajua hujui. Unaweza ukawa na machine na bado wahuni wakakuchezesha chipolopolo. Self-defence ni kitu muhimu sana kujifunza. Tuache kuogopa maumivu watoto wa kiume unless uwe na ulemavu. Na hayo makitu yanakufanya uwe mwanaume kambi popote sio unakua bolingo nangai zama hizi.
 
Kila mtu abaki ma mawazo yake. .

Shida ya wabongo wakienda kozi mwaka wanajiona teyari wanaself defence. .

Kulitokea vita msikiti wa mtambani Kuna jamaa anaitwa master kingedere wenzake walikimbia. Mana waliunganika watu wa magoneni na msikiti wa mkwajuni. Wale wa kareti wakiona mapanga yanang'aa hawakusunmbiri self defence 🤣
 
Umenikumbusha hii naikumbuka wele 😆😆😆😆😆
 
Umenikumbusha hii naikumbuka wele 😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣

Yalikuwa yanarushwa mawe ya kilo tano siku Ile siwezi isahau. Jamaa mmoja alikuwa anaitwa Masood mkubwa alipigwa panga la kichwani damu tu zilikuwa zinamwagika. .

Mapanga yanang'aa ukiona unaingiwa na ganzi🤣🤣🤣
 
Salaam wana JF.

Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam?

Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
Unawafunza kunfu masta hu haa afu wanabakwa
 
Umeongea upupu. Siku yavabe ndio utajua hujui. Unaweza ukawa na machine na bado wahuni wakakuchezesha chipolopolo. Self-defence ni kitu muhimu sana kujifunza. Tuache kuogopa maumivu watoto wa kiume unless uwe na ulemavu. Na hayo makitu yanakufanya uwe mwanaume kambi popote sio unakua bolingo nangai zama hizi.
Hivi mguu wa kuku unaujua vizuri 🤔 wenyewe sio self defense Ni all defense Tena Bora mwenye shaba anaweza kunyooshea afu akaghairi kuliko Yule ambae sio mzoefu akishika lazima ajarbu fetua aone namna inafanya kazi
 
Salaam wana JF.

Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam?

Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
Russian Culture Centre pale jirani na hospitali ya Agakhan
 
Back
Top Bottom