Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

Hivi mguu wa kuku unaujua vizuri 🤔 wenyewe sio self defense Ni all defense Tena Bora mwenye shaba anaweza kunyooshea afu akaghairi kuliko Yule ambae sio mzoefu akishika lazima ajarbu fetua aone namna inafanya kazi
Sasa utaitumia kila sehemu? Pili, unajua process za kumiliki hiyo makitu unafikiri ni kirahisirahisi tu kuimiliki? Tatu, unajua impact zake hata ukishaweza kuitumia ikakusaidia? Na nne, unaweza kuimiliki na bado watu wakakutaimu na kukumaliza nayo vilevile. Kuna mashambulizi unapigwa surprise to the extent ni mbinu pekee za mapigano ndio zinaweza kukuokoa maana kimsingi huwezi kutembea na bastola kila sehemu, muda wote kuwa standby, si kweli.
 
Naona unaongea vitu ambavo huvijui subiri wakulenge shaba ya tako afu umuulize nani kakupa kibali cha kumiliki risasi kila nchi ina sheria na risasi zipo nyingi kwa wananchi wengi tu na hawana vibali
 
Naona unaongea vitu ambavo huvijui subiri wakulenge shaba ya tako afu umuulize nani kakupa kibali cha kumiliki risasi kila nchi ina sheria na risasi zipo nyingi kwa wananchi wengi tu na hawana vibali
Naona bado uko katika stage ya kukuza akili. Umegeuza mjadala. Unaongelea criminality ya kumiliki silaha kimagendo.
 
Haimaanishi kuwa watoto wapo katika mazingira hatarishi vitu kama kong fu, boxing, swimming, playing piano, music na vinginevyo ni basic at least uwe na kimojawapo.
Naenda kuzeeka sina hata kimoja!!!

Ulinzi pesa huna pesa hata uwe na mikanda mia mbele ya pesa unaonekana koro tu.

NB;sijasema watu wasijifunze hiyo michezo.
 
Naenda kuzeeka sina hata kimoja!!!

Ulinzi pesa huna pesa hata uwe na mikanda mia mbele ya pesa unaonekana koro tu.

NB;sijasema watu wasijifunze hiyo michezo.
Hakuna anaezungumzia pesa hapa,
Tanzania tupo nyuma sana kiulewa,
Nchi za wenzetu vitu kama hivi vipo kwenye mtaala wa kufundushia. Lengo ni kumwongezea mtoto activities, uwezo wa kufikiri, strong body n.k
Hatupo kwenye kujadili umaskini we all know to Hussle for money.
In the other way boxing, swimming these are hobes but can also be do's and don't's
 
Well nailed! Watz bado tuko na mitizamo rigid.
 
Nenda Confucius Institute at UDSM wachina wanafundisha Kung-Fu, au nenda Russian Culture Centre Upanga karibu na Agakhan kwa Sensei Ringo Rwezaura., au Nenda Kisutu Girls shuleni hapo City Centre.
Manzese karibu na Kanisa katoliki walikuwepo jamaa na doo yao.
 
Nipo Kinyerezi mkuu.
Fanya kuulizia Ukonga Gerezani au Segerea, au FFU pale Ukonga.
Ukishindwa wapeleke Confucius Institute at UDSMkila weekend, kuna watu wanafanyia mazoezi asubuhi viwanja vya UDSM weekend.
 
Unataka watoto wako wajifunze Kung Fu basi wapeleke misikitini. Misikiti mingi wana program za kufundisha watoto karate Tena bure ila sidhani kama wanafundisha Kungu Fu. .
Kwamba Msikitini ndio michezo yao!!?
 
Salaam wana JF.

Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam?

Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
Wewe ulijifunzia wapi! Niliona pale almakazy kiwalani chama
 
Kwamba Msikitini ndio michezo yao!!?
Misikiti mingi inafundisha ukakamavu na inawaandaa vijana kwa vita ya Jihad
Natabiri kuna vita kubwa itakuja ya Jihad kati ya west na middle East. Wale wanaojifunza karate wote watakuwa ndio mstari wa mbele vitani. .
 
Mtafute huyu Kijana anaitwa Praygod Kihuru kama anaweza kuja kuwafundishia kwako. Ni product ya Confucius UDSM.
Muangalie hapo chini, tafuta contacts zake Facebook, ninzo lakini sita sambaza bila ruhusa yake.

Salaam wana JF.

Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam?

Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.

Wapeleke madrasa watafundishwa huko huko na ositaz
 
Back
Top Bottom