Hapo Mwanasheria lazima ahusike na mashahidi kugeukana nje nje na watu kukimbiana dili likibuma au biashara ikifa bila kurejesha chochoteUnaweza kuingia makubaliano na muajiriwa labda mwalimu, yeye atoe mtaji wewe uwe unasimamia biashara, ili yeye akope kwa jina lake na akukabidhi wewe.
Ohoo AsanteUnaweza kuingia makubaliano na muajiriwa labda mwalimu, yeye atoe mtaji wewe uwe unasimamia biashara, ili yeye akope kwa jina lake na akukabidhi wewe.
TRA ya wapi wanatoa tin ya biashara bure mana nlifatilia tin mwisho wa siku nkapata tin ya kawaida ili niibadilishe iwe ya biashara natakiwa kulipa Elf 89000 kwa mda wa miezi 6 ili ipate ile lebo ya silver ya biashara Ww umefatilia tin ya biashara wapi ukapata bure na hujalipia chochote na je TRA wakikutembelea unawaonyesha hyo hyo tin isiyokuw na lebo ya biashara wanaipokea amaTin ni bure ila leseni ya biashara ndio unalipa inategemea na biashara yako kisha TRA watakukadiria kodi
Ndo mana nkasema kwa wajasirilimali kipenzikama huwezi yote hayo usifanye biashara, fanya ujasiriamali.
Wewe unazungumzia LESENI ya Biashara, TIN ni bure Ila Leseni unalipiaTRA ya wapi wanatoa tin ya biashara bure mana nlifatilia tin mwisho wa siku nkapata tin ya kawaida ili niibadilishe iwe ya biashara natakiwa kulipa Elf 89000 kwa mda wa miezi 6 ili ipate ile lebo ya silver ya biashara Ww umefatilia tin ya biashara wapi ukapata bure na hujalipia chochote na je TRA wakikutembelea unawaonyesha hyo hyo tin isiyokuw na lebo ya biashara wanaipokea ama
Hapo sawa ntajaribu ushauri wakoHapo Mwanasheria lazima ahusike na mashahidi kugeukana nje nje na watu kukimbiana dili likibuma au biashara ikifa bila kurejesha chochote
Ili upate leseni lazima uwe na TIN ya biashara sio TIN ya kawaida kuvuka hapo ndo pagumuWewe unazungumzia LESENI ya Biashara
Sasa si fanya tu kwa mtaji ulionao. Utakuwa kidogo kidogo.Ndo mana nkasema kwa wajasirilimali kipenzi
Wewe ulishakata TIN ya kawaida?Ili upate leseni lazima uwe na TIN ya biashara sio TIN ya kawaida kuvuka hapo ndo pagumu
Ndio TIN ya kawaida ninayo na hiyo ya biashara ninayo lakini ndo sikuilipia kwahiyo haifanyi kazi yani haisomi kwenye systemWewe ulishakata TIN ya kawaida?
Elf 10,000 mpaka Elf 35,000Kwa siku unapata mapato kiasi gani kutoka kwenye hiyo biashara?
TIN number ni moja tu hawagawi zaidi ya moja kwa jina mojaIli upate leseni lazima uwe na TIN ya biashara sio TIN ya kawaida kuvuka hapo ndo pagumu
Yaan ulikata TIN mbili kwa Jina moja? Mwaka gani? Maana siku hizi huo utaratibu haupoNdio TIN ya kawaida ninayo na hiyo ya biashara ninayo lakini ndo sikuilipia kwahiyo haifanyi kazi yani haisomi kwenye system
Elf 10,000 mpaka Elf 35,000
Asante nimeelewa ndugu hili nitalifanyia kazi na Bank gani ina sifa ya kukopesha kwa sifa hizo?Ok unaweza kufanya yafuatayo ili kujiongezea sifa uko mbeleni
Sajili jina la biashara i.e munira business Fungua akaunti kwa jina la biashara Kila unapofanya mauzo uwe unapeleka benki, baada ya muda fulani utapata sifa ya kukopa bank
TIN hiyo ya kawaida ndo nlienda kubadilisha iwe ya biashara ikashindikana kwenye kulipia nilijua ni bure kama nlivyopata ya awaliYaan ulikata TIN mbili kwa Jina moja? Mwaka gani? Maana siku hizi huo utaratibu haupo
Unaweza kuwatembelea NMB, kwa sababu huwa naona wafanyabiashara wadogo na wakati wananufaika kule.Asante nimeelewa ndugu hili nitalifanyia kazi na Bank gani ina sifa ya kukopesha kwa sifa hizo?
Kitambulisho cha mjasiriamali siku hizi hakipo hivi?TIN hiyo ya kawaida ndo nlienda kubadilisha iwe ya biashara ikashindikana kwenye kulipia nilijua ni bure kama nlivyopata ya awali