Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Hapo Mwanasheria lazima ahusike na mashahidi kugeukana nje nje na watu kukimbiana dili likibuma au biashara ikifa bila kurejesha chochoteUnaweza kuingia makubaliano na muajiriwa labda mwalimu, yeye atoe mtaji wewe uwe unasimamia biashara, ili yeye akope kwa jina lake na akukabidhi wewe.