Frank Hood
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 597
- 1,374
Lete proposal ya hiyo biashara,nikiona inafaa tunaingia mkataba....hela yangu ikirud na faida tuliyokubaliana katika muda tuliokubaliana nakuachia biashara uendelee nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Contact zako pleaseLete proposal ya hiyo biashara,nikiona inafaa tunaingia mkataba....hela yangu ikirud na faida tuliyokubaliana katika muda tuliokubaliana nakuachia biashara uendelee nayo
Riba yao kubwa sana almost 30% kwa mwakaFINCA.
atalipia tax clearance ndo uende huko sijui halmashauriTIN ni bure Ila Leseni sio bure [emoji16]
Ndio hivyo na inabidi uende na proposal sio unaenda enda tu hupewi mkopoatalipia tax clearance ndo uende huko sijui halmashauri
Twende pm before kukupa contactsContact zako please
Mkuu naomba Nije PMLete proposal ya hiyo biashara,nikiona inafaa tunaingia mkataba....hela yangu ikirud na faida tuliyokubaliana katika muda tuliokubaliana nakuachia biashara uendelee nayo
Mkuu naomba Nije PM
Wao wanapataje faidaNenda TAMPRO munira, kajiunge utapata mkopo bila riba kabisa! Uwe tu mwanachama.
Fika pale magomeni Usalama, upande wa pili wa barabara. Ofisi zinatazamana na NMB na soko kuu la magomeni. Pembezoni mwa ofisi mpya za wilaya zilizojengwa kisasa.
Naaam ni Mimi Kila kitu ni halisi kabisaWewe ndio huyo mwanamke mnene, mbaya, mwenye sura nzito na mweusi kama kitumbua kilichoungua hapo kwenye picha yako?!
Unaonekana una karoho ka kwanini na ufitini sana!
Kwann hukufungua uzi wako ukapata fursa mpaka uje kudandia rizq za wenzako kwenye comments za nyuzi zao?!
SawaNenda TAMPRO munira, kajiunge utapata mkopo bila riba kabisa! Uwe tu mwanachama.
Fika pale magomeni Usalama, upande wa pili wa barabara. Ofisi zinatazamana na NMB na soko kuu la magomeni. Pembezoni mwa ofisi mpya za wilaya zilizojengwa kisasa.